Hivi inakuwaje hujawahi kupanda ndege? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi inakuwaje hujawahi kupanda ndege?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mafiakisiwani, Jan 13, 2012.

 1. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa.
  Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed:
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha ha
  Unamaanisha ndege eroplane au bird?
  Mbona wewe hujawahi panda ungo?
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  fafanua ni ndege yupi?
   
 4. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Umepanda juzi ukisindikiza maiti basi ndio umefuraaaaahi mpk unawaona wenzio ambao hawakupata nafasi hiyo wajinga
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  itakuwa bird. Lol. We umewahi kumpanda simba?
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahaha!! Ahsnte kwa kunipa kicheko.
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  sioni faida ya kujadili
  Inasaidia nini kupanda au kutokupanda ndege
  Kwani kupanda ndege ndo mafanikio au vipi
  na ukipanda imekusaidia kuongeza nini maishani mwako
  Au usipopanda imekuongezea au kukupunguzia nini mmaishani mwako
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...bwaaaahhahahahahah!....nipande ndege ili iweje bana?
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mbu shangaa jamaa hapo anawashangaa waiopanda ndege
  Kwani kupanda ndege ni jambo la kuja kuongelea kwa watu
   
 10. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Jamani, mbona umezianzia safari lager mapema hivyo??! eniwe, furahiday njema!..mi nimepanda ungo, ndege naogopa
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kwetu tunatumia fisi
  Ukiona miguu yangu ni kama kotama
  Kwa ajili ya kujishikiza kwenye fisi asinidondoshe
  Huwa wana speed
  Afu maskio ndo mskano
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kongosho mwambie huyu jamaa
  sio ndege tuu na fisi na ungo ndo usafiri
  Ndege nini bana
   
 13. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  time wasting thread!
   
 14. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  BJ usiaribi sifa maridhawa ya safari lager kwa ajili ya huyu popompo ambaye anafurahia kupanda ndege.
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Kipofu kauona mwezi, basi hata akiambiwa tembo mkubwa anauliza 'kama mwezi?'
  Ushamba hauna mwenyeji,kha!
   
 16. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Husninyo, kumpanda as in 'kumpanda" au...? Una makubwa wewe!
   
 17. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Nimekusoma basi atakuwa amepakia Lite za kumwaga huyo..Safari sifa yake madhubuti, haina mpinzani..
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Mkwe, ongea inglishi!kupanda na kumpanda simba ni vitu vinne tofauti
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  where's like aisee nikugongee mkuu maana umesema ukweli mtupu...:lol:
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wewe lazima ni Mpemba
   
Loading...