Ni mimi tu au hata wewe?

Ni mimi tu au hata wewe?

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,242
Tangu Asubuhi sioni Members walio kwenye Jukwaa lolote niingialo. Na wewe inakutokea? Yaani kuna memba 2 na wageni 100, inajionyesha kwako?
 
mto umeingiliwa mamba, waogeleaji wafanyeje sasa?
 
Huwa inatokea sana tu,unaweza kukuta,
1member,1guest.
Ila inategemea jukwaa na thread yenyewe.
 
Tangu Asubuhi sioni Members walio kwenye Jukwaa lolote niingialo. Na wewe inakutokea? Yaani kuna memba 2 na wageni 100, inajionyesha kwako?

Kwa hiyo ulikuwa peke yako pole sana au ulikuwa kwenye jukwaa la intelligensia
 
Wamesusia. Lakini unaweza kupuyanga tu. Some fetures have been disabled.
 
Kwa sasa haionyeshi kitu ila sio issue sana....chapa thread tutaiona
 
yaani leo wakeshaji wote hawapo
ni nini kimetoea? Namuona mmoja tu.
 
Back
Top Bottom