Hospitali ya serikali!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hospitali ya serikali!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by yahoo, Jan 30, 2012.

 1. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Dada mmoja alikuwa anaumwa jicho ile mbaya,alikuwa halali uciku kwa maumivu.siku moja alijitoa mhanga kwnda hospitali moja ya Serikali;kwenye chumba cha dactari wa macho akaingia akamkuta dactari mmoja yupo siriazi."nikusaide nini binti?"bibie akaelezea matatizo yake ya macho.dactari akamsikiliza ,baada ya kumchunguza kwa makini,akamwandikia cheti alfu*akamwambia*"kwa ugojwa wako itabidi ukan'golewe hilo jicho linalokusumbua,,nyanyuka ukang'olewe, pita mlango unaofata.Sister *akamiminika jasho hadi kwenye naniii,wakati sister ananyanyuka akachungulia jamaa mmoja dactari aliyehama hiyo hospitali, akasema 'Haloo docta kumbe umehamishiwa huku kwenye kitengo cha macho kutoka kitengo cha MENO!
   
 2. B

  BatteryLow JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Hayo ndiyo yanayokuja sasa kwa kuwalazimisha madaktari waliogoma kwa kudai haki zao, Pinda anawatishia kuwatimua kazi mara moja. Kwa cku yatanyofolewa macho kama sitini, miguu 60 isiyostahili kung'olewa itang'olewa. Haya bwana!!
   
 3. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  atkae gogwa na pikipiki asijari aje agha khan,ulizia mr yahoo!*
   
Loading...