Kitendawili jaman ? Tega, tega nikutege? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitendawili jaman ? Tega, tega nikutege?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MziziMkavu, Jan 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,230
  Likes Received: 4,024
  Trophy Points: 280
  Nauliza Swali langu jamani nawaombeni munijibu waheshimiwa wangu. Kwa Mfano yai ni moja yakiwa mengi utayaita mayai. je Simba ni mmoja wakiwa wengi utawaitaje? nawaombeni munijibu swali langu hilo linaniumiza kichwa asanteni.
   
 2. molely molly

  molely molly JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 317
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  masimba mijisimba
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Simba!!
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,230
  Likes Received: 4,024
  Trophy Points: 280
  iweje Simba wengi waitwe Simba? wakati Simba mmoja anaitwa Simba?
   
 5. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama kitu(thing) inakuwa vitu. Mtu(man) anakuwa watu. Noun hii ina anza na odd consonant y kwa hiyo katika wingi unaichukulia kama non living thing. Gari(gari) yawa magari. Therefore YAI itakuwa mayai. Phonology.
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,230
  Likes Received: 4,024
  Trophy Points: 280
  Sawa Mkuu Je Simba itakuwa..........?
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wasimba
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  simbaz!kisambaa
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nikupe mji?
   
 10. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,924
  Likes Received: 1,711
  Trophy Points: 280
  Ni Lions
   
 11. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,357
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  ni nini imekufanya kutaka uwingi wa neno hilo tu wakati mfaano wa maneno hayo ni mengi tu?
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,923
  Likes Received: 14,533
  Trophy Points: 280
  Simbas
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Simba.
   
 14. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tega nikutege mwiba.
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Chagua jibu lililo sahii,
  a.Simba,
  b.Misimba,
  c.simbas--source Asprin
  d.yote ni sahihi
  e.Yote si sahihi.
   
 16. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,374
  Likes Received: 1,574
  Trophy Points: 280
  Mi'simbaz(i)..
   
 17. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Simba, sizimizi, siafu...zote ni "nomino zisizo na sifa zinazobainika[neutral nouns]" kwa hivyo umoja na wingi ni ule ule. Lakini kwenye upatanishi wa kisarufi, kwa kuwa ni vitu/viumbe vyenye uhai, umoja ni -a na wingi ni -wa. Simba ameroa/Simba wameroa.

  Sigara, simu, sidiria - kama juu hazina wingi wa kisarufi lakini kwa kuwa ni vitu visivyo uhai, upatanishi wake ni -i umoja na -zi wingi. Simu inaita/Simu zinaita
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,230
  Likes Received: 4,024
  Trophy Points: 280
  Sitaki mji nataka jibu mkuu
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,584
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  sarufi ya Kiswahili ndivyo ilivyo.
  Ni sawa na kuuliza kwanini past form ya go ni 'went' na sio 'goed' as usual?
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Ukiwa mmoja unaitwa ungo, zikiwa nyingi?
   
Loading...