Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Wanpendwa wana JF wenzagu nimekuja rasmi ili kuwaaga kwani tarehe 6 mwezi wa pili nategemea kuondoka na kwenda masomoni. Kutokana na hali hiyo nasikitika kuwaambia kuwa sitoweza kuendelea kuwa nanyi tena katika forum tukichat, kuelimishana na kushauriana na kupeana habari za hapa na pale kama tulivyozoea hadi pale ntakapomaliza masomo yangu. Nitawamiss sana members wenzangu wa JF hasa wale wa jukwaa la Science and Tech na jukwaa la mapenzi. Ingawa nitakuwa mbali nanyi lakini kiroho tutaendelea kuwa pamoja kwa sababu mpo moyoni mwangu, mtaendelea kuwa moyoni mwangu na hakuna kiyu chochote kitachonifanya nitengane nanyi hata kama JF ikifa.
I know its so painful being apart from you guys cuz my heart knows only how to love you. Pls dont ever let me go, i will love you forever cuz you are my life. Nawatakia wana JF wote maisha mema na yenye baraka tele na Mungu akipenda tutaonana tena. Kwa herini