JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Guy 1: "Owky, I'm gonna tell u a story with 4 PARTS. Ok remember that, 4 PARTS... !!!" Guy 2: "Owky..." ... Guy 1: "I'm gonna start with part 1... There was a husband and a wife, they were driving...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii mambo naskia haikogo kabisa Ar, kweli ??
0 Reactions
40 Replies
4K Views
....kidogo inanipa shida, cjui kama huko nyuma (zamani) pia ilikua namna hii... wakaka wanakimbizana na wadada....pakitoka aina fulani ya blauzi, basi ujue mbioni kutakua na mashati ya aina iyo...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Tangu Asubuhi sioni Members walio kwenye Jukwaa lolote niingialo. Na wewe inakutokea? Yaani kuna memba 2 na wageni 100, inajionyesha kwako?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mh!
Eti jaman ni kwa nini tunasoma sana elimu mwishn isiwe la 7.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtaa # 1 huko s'wanga:Jamaa akiwa na baiskeli yake akakutana na babu mmoja akienda kwa mguu.Yule babu akamuomba lift,jamaa akatosa kwa visingizio baiskeli yake ni mbovu.Babu akasema haina...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa. Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi...
0 Reactions
171 Replies
11K Views
mwanaume mwenye tabia ya kufanya mapenz na wanawake tofauti huitwa spana.je mwanamke mwenye tabia hyo hyo tunamwitaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauliza Swali langu jamani nawaombeni munijibu waheshimiwa wangu. Kwa Mfano yai ni moja yakiwa mengi utayaita mayai. je Simba ni mmoja wakiwa wengi utawaitaje? nawaombeni munijibu swali langu hilo...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
As you lie back, your muscles tighten.You put him off for a while searching for an excuse,but he refuses to be swayed as he approches you. He asks you if you are afraid and you shake yor head...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
2012 chaguo lako nini?...mie nimechagua kuchit chat...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jana nilipita mahali nikaona imeandikwa 20-0=2 nikaona kiuna ukweli fulani,je jamaa yuko sahihi??
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Kwa kuanza napenda kuchukua fursa hii kumshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kuniruhusu niendelee kula licha ya uovu mwingi ninaotenda kila siku hapa duniani. Pia kwa wale ambao ndugu, marafiki na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hizi ni sifa za mgombe uongozi wa ccm ktk ngazi yoyote JAZIA AU KANUSHA ISIYOFAA 1.lazima uwe mtoto wa kigogo serikalini 2.uwe na charecter za wizi 3.uwe schooless/Hujaelimika 4.uwe mgonjwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanpendwa wana JF wenzagu nimekuja rasmi ili kuwaaga kwani tarehe 6 mwezi wa pili nategemea kuondoka na kwenda masomoni. Kutokana na hali hiyo nasikitika kuwaambia kuwa sitoweza kuendelea kuwa...
0 Reactions
110 Replies
7K Views
Jamani mwenzeni nimeota wanachama wa jamiiforums tumeitwa kupewa zawadi kila mmoja kutokana na mchango wake aliotoa katika jukwaa hili. Zawadi zilikuwa zinatolewa katika uwanja wa Taifa Dar. Kila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati watu wanagombania kupanda kwenye basi la mbagala kama kawaida yao, bibi mmoja alipanda bila shida akapata siti. Baada ya mda konda akamuuliza "bibi unalia nini sasa" Bibi akajibu "miaka...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
He tells the bank officer he is going to Australia on business for two weeks & needs to borrow £5,000. The bank officer tells him that the bank will need some form of security for the loan, so...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dada mmoja alikuwa anaumwa jicho ile mbaya,alikuwa halali uciku kwa maumivu.siku moja alijitoa mhanga kwnda hospitali moja ya Serikali;kwenye chumba cha dactari wa macho akaingia akamkuta dactari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ilikua kati ya kahabaa na mwanauchumii kahaba,,,,,goli 1 kwenye kitanda sh 10000,,,,,,goli 1 kwenye coach sh 5000,,,,,goli 1 kwenye nyasi sh 2000 mwanauchumi,,,,,,,sasa mimi nitatoa sh...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…