JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Taarifa zilizopo kwenye deports/wakala wa bia zinaonesha kuwa kale kabia nako kameshapanda bei tena kwa asilimia 12.5. Tumekwisha. hakuna tena kupanga mipango na na migogoro itazidi kwani wanaume...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau tusaidiane kuhabarishana ili tujue wekend inaendelea au kesho kwa wakoloni kama kawa? Wenye uelewa wa hii siku kuu watusaidie
0 Reactions
10 Replies
1K Views
jana tulikuwa sehemu tunapata moja moto moja baridi baada ya kijimuda kupita kuna kaukimya flan kakajitokeza pale... Mara jamaa m1 akaamua kuuliza ivi nchi gani ipo jilani na USA Kuna mwanetu m1...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dah, nilijikuta ghafla nimefika Posta ya zamani, acha ile mpya yenye makelele na mijengo mingi ya kisasa. Pale kwanza kuna upepo bwana, wa bureeh! Afu kuna garden pale mbele ya NBC Corporate...
2 Reactions
81 Replies
7K Views
Jamaa mmoja alikuwa na tabia ya kutembea na watoto wa shule. Ikagundulika kuwa amempa mimba mwanafunzi. Akafikishwa mahakamani. Baada ya kuona kafikishwa mahakamani akaenda kwa mganga kuloga ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mzee moja amejisahau na kwenda kwa mkewe na condom kwenye boo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
One day a mother went 2 visit her son Tom and his room mate, but when they were up for breakfirst the mother recognised that there was something going on between the two, Tom reading his mother's...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mke: hivi mume wangu mi nikifa utaoa tena? Mume: kwanini nisioe.? Nitaoa tu. Mke: huyo mwanamke ataishi humu ndani? Mume: ataishi humu na atakuwa anawatunza watoto wetu. Mke: atalala kwenye...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
mara nyingi nikisafiri na sema mimi natoaka nigeria
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Leo nampokea Aspirin nyumbani kwa mara ya kwanza kabisa, sasa sijui nivae nini? nisaidieni jamani...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kutokana na kuanza kupotea kwa mikasi madukani serikali ya tanzania inatangaza tenda ya ku supply mikasi serekalini na kwenye chama cha ccm.
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Wanyama pori walikuwa darasani.... Mwalimu akauliza 'nani mwenye masikio makubwa'? Simba akacheka sanaaa, kisha akajibu 'PUNDA'. Wanyama wote wakamcheka Punda. Mwalimu akauliza tena 'nani mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
we have an important message for u to know it call this number 002392282380 free wakuu hii message imeingia kwangu muda sio mrefu.tunaweza kumpata mtumaji??
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna familia moja ilikuwa na mtoto tangu azaliwe hajawahi kuongea hadi anafikisha miaka 4. Siku moja akasema Bibi,kesho yake bibi yake akafariki. Ukapita muda kidogo akasema Babu,kesho yake babu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamaa alipiga sim makumbusho mazungumz yalikua hv-JAMAA hapo ndio makumbusho ya taifa?MAKUMBUSHO ndio nini tukusaidie?JAMAA naomb mnikumbushe saa mwaka juz ilipotelea wap?MAKUMBUSHO pumbav ...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Unakuta mtu anakutumia msg,au kuchangia hoja fulani ktk hii mitandao ya kijamii,halafu kwenye neno linalotakiwa S anaweka X.sijui huu mtindo unasaidia nn!!mf;-sasa=xaxa msusi=mxuxi aaaagh...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
hIvi kesho ni siku ya kazi?
0 Reactions
3 Replies
910 Views
Hivi hizi kandambili tunazozikuta kwenye nyumba za kulala wageni zikiwa rangi tofauti tofauti, haiwezekani zikawa ndizo zinazosambaza magonjwa yanayosababisha wanaume kunuka miguu?
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Hapo sasa Mzee yeye ana jina lakini hana device Safari ya Radio, ilipotoka mpaka ilipofika.Kama habari inageuka ndivyo sivyo, inabidi mufikie muafaka tu kwa kukubali yaishe, mnapiga Butter...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…