A typical Zambian man monthly budget

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
53
image001_thumb.jpg
 
Haina tofauti na bajeti ya mwanaume wa kitanzania ndio maana TBL inaongoza kwa kulipa kodi tra
 
Ingekuwa bongo ningekukumbusha kimoja ulichosahau. FEGI!!mzee serikali yetu inategemea hiyo kitu. Umeshaona bajeti ikipita bila kwanza kuinua bei ya sport,sm,embassy nk?sigara ndiyo tz. Tz bila sigara haiendi. “UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO”
 
inatofautiana na bajeti yangu kidogo sana, kwa sababu ya kwangu kwenye upande wa food and transport ni ndogo zaidi ya huyu jamaa
 
But tell me one critical fact: How much does this man earn per month?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom