Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,421
Hapo sasa
Mzee yeye ana jina lakini hana device

Safari ya Radio, ilipotoka mpaka ilipofika.
Kama habari inageuka ndivyo sivyo, inabidi mufikie muafaka tu kwa kukubali yaishe, mnapiga Butter Trade
View attachment 46703
The Old Good days haya ndiyo maisha yalivykuwa nyakati za kitabu

Kwa Mwendo huu sitabiri, bali nabashiri huko tuendako vijana watakuwa wanakwenda dukani walipia tu nguo, then hawazichukui ila wanachukua risiti na kutembea nazo au kujibandika mwilini.

Mzee yeye ana jina lakini hana device

Safari ya Radio, ilipotoka mpaka ilipofika.
Kama habari inageuka ndivyo sivyo, inabidi mufikie muafaka tu kwa kukubali yaishe, mnapiga Butter TradeView attachment 46703