number 2392282380

number 2392282380

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,832
we have an important message for u to know it call this number 002392282380 free
wakuu hii message imeingia kwangu muda sio mrefu.tunaweza kumpata mtumaji??
 
duh, mafiasko
Matapeli tu hao wanajifanya umeshinda "draw' fulani na unatakiwa uende kuichukua au uwasiliane nao ili upewe zawadi yako. USHINDI gani bila ya kushindana au ZAWADI gani inayotolewa bila mshindi kujua washindani wake walikuwa kina nani? Achana nao ukiwaendekeza mwisho wa siku utatapeliwa!!
 
Hawa watakuwa wanaijeria hata mimi wamenitumia msg kama hiyo.
 
Wa2mie tafadhali nipigie.
POPOBAWA.
 
hata mimi nimepata msg kama yko mkuu. Wala usihangaike kuwatafuta kwa sababu hao ni hackers mkuu na lengo lao ni kukuibia. hata ukiwapigia customer care bado hatawesza kukupat jina la mtumiaji. Nakushauri uachane nayo usije ukajitia matatizoni
 
mimi niliwapigia kwa lengo la kutaka kujua wao ni akina nani lakini hawapokei, au ndo tuseme ni wanaogopa nini sasa ...
 
MAMANGU ALIPATA
MCHANA.ALIPOPGA
IKAJIBU TUNASHINDWA
KUITAMBUA NAMBA
BLAH
BLAH
blaaaah
 
Back
Top Bottom