haichekeshi kivile ila ukiilewa utaipenda tu...

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
938
125
jana tulikuwa sehemu tunapata moja moto moja baridi baada ya kijimuda kupita kuna kaukimya flan kakajitokeza pale... Mara jamaa m1 akaamua kuuliza ivi nchi gani ipo jilani na USA Kuna mwanetu m1 wala hakutumia nguvu kutengeneza jb akasema inaitwa USB... Acha tufunge kikao kwa kicheko wk'end njema jamani
 
Mbona hujiamini,
halafu hamkuwa na hela zakutosha mpaka mkawa mnategeana kuagiza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom