Kandambili za Guest House | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kandambili za Guest House

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kigarama, Feb 4, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi hizi kandambili tunazozikuta kwenye nyumba za kulala wageni zikiwa rangi tofauti tofauti, haiwezekani zikawa ndizo zinazosambaza magonjwa yanayosababisha wanaume kunuka miguu?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nani anawaambia mvae ndala zinazovaliwa na watu mia kidogo? Fungus haziwezi kuwapita hivi hivi.
   
 3. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sasa tufanyaje tutembee na kandambili zetu kwenye mikoba yetu tunaposafiri?
   
 4. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Acha visingizio jenga tabia ya kubadilisha soksi kila baada ya siku moja, otherwise hata ukivaa kandambili mpya hutaepuka hilo swala!

  Kingine acha kwenda guest za vichochoroni!
   
 5. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Za wapi kali zaidi babaubaya.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kumbe. . . ?
  Kuwa na pea ambayo ni maalum kwa kusafiria. Mi hata nikienda kwa ndugu ntaenda na zangu achilia mbali nikiwa na mpango wa kulala sehemu ambayo bafuni hakuingiliki peku.
   
 7. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  vingunguti kiembe mbuzi kuna guest inaitwa chupi mkononi guest house..
   
 8. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe mkale!!
   
 9. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Naam, kwenye gesti lazima uingie na ZANA na uzitumie!
   
 10. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kaazi kweli kweli!!
   
 11. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo unataka ukawe mgeni wa huko?! maana njenge hizo ni kwa ajili ya wageeeni!
   
 12. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Aisee, usinikumbushe vituko vya ndala ktk hizo guest, niliwahi kwenda Kilosa nikachukua chumba kwy hotel moja pale mjini(ofcoz ndio nzuri kwa pale), rum kama sikosei ni kati ya 30,000 hadi 40,000. Cha ajabu nikakuta wameweka ndala za miguu ya aina moja, nilipoomba wabadirishe hadi meneja akakataa eti zote ndio ziko hivyo.
  Nilishindwa kuhama coz vingine nilizopita vyumban mlikua hamvumiliki na bahati nzuri maduka yalikua karibu na hayajafungwa coz ilikua usiku nikanunua za kwangu, since then lazima niwe nazo kwa safari.
  Unajua JKT ilitufundisha kuwa wagumu balaa hadi tunapitiliza.
   
 13. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #13
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ukweli ni kuwa, binadamu ni kiumbe wa ajabu sana, kandambili zikiwa pair kamili, wanaiba. ndo maana guest na hotel wanaweka tofauti tofauti. kum ukeni sakati la Mhe. Mary Mwanjelwa mbunge viti maalum CCM akiwakilisha mkoa wa Mbeya ALIVYOKAMATWA ameiba mataulo kwenye hotel huko Arusha.
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  jamani gest chafu ziko tukuyu.
  Mablanketi kilo 80 sababu ya unene wa uchafu, afu bafuni ndo usiseme.
  Unaweza uchuchumae usiku mzima.

  Bado ile tupendane guest house pale himo
  sijui lile pazia la maroon walishalifua?
  Lilikuwa linatenga sehemu ya chakula na korido la kuelekea vyumbani.
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Lol salaaale! Usiombe gesti ya kijijini, zile unakuta mlango umepakwa rangi ya mafuta ya brown! Ndala zimekatwa mbele kama mdomo wa samaki, afu zimechakaa! U wonder zimevaliwa na marehemu wangapi hadi leo!
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kigarama, ili kuepuka kunuka miguu (ambayo inasababishwa na fungus). Ofcoz kushare malapa inachangia kiasi kikubwa.
  1 usivae pair moja ya kiatu siku mbili mfululizo, kusudi zipate kukauka jasho na kuua fungus if any
  2 vaa viatu vya ngozi, achana na mchina lol
  3 vaa socks safi kila sikui, na zikifuliwa zianikwe juani kama inawezekana
  4 hakikisha unasafisha miguu na brashi laini na sabuni na kuikausha hasa kati kati ya vidole
  Note, ukivua socks usizisokomeze ndani ya viatu, unajenga mtambo wa fungus!
   
 17. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  You said it all...

  Ila hiyo namba 4.. Wengi wa wanaume hatuwezi.. Tunahisi tunajitekenya.... Kama mimi,narusha kabisa miguu yangu kwa mtekenyo huo..
   
 18. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huwa unatekenyeka?
   
 19. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  sana tu..
   
 20. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  What a useful thread...
   
Loading...