sikukuu ya moulid ni lini? j2 au j3? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sikukuu ya moulid ni lini? j2 au j3?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MKATA KIU, Feb 5, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Wadau tusaidiane kuhabarishana ili tujue wekend inaendelea au kesho kwa wakoloni kama kawa? Wenye uelewa wa hii siku kuu watusaidie
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kweli watujuze hasa wahusika,
   
 3. m

  mhondo JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Si wamesoma jana usiku kwahiyo sikukuu ni leo. Kesho kazi kama kawaida. Ila tusubiri wanaohusika zaidi watujuze ninavyojua mimi ni hivyo.
   
 4. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kwani nyie mnaishi wapi kusikokuwa na mawasiliano? Malinyi?
   
 5. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nawe uko mitaa gani kwani.. Kibiti?
   
 6. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kwani hawa wa wapi hawa?? Kwanza achana nao...
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Siku kuu ni j2
   
 8. c

  cholo Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wacha uvivu nenda kazini au ndio viroba vinafanya kazi ?
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu kimbweka long time no see you ulikuwa wapi bwana..
   
 10. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata mimi naelewa hivyo kuwa sikukuu ni leo.
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu nilizama chini mgodini, sasa madini yametema nimerudi
   
Loading...