Tafakari

Tafakari

YNNAH

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,706
Reaction score
974
Kuna familia moja ilikuwa na mtoto tangu azaliwe hajawahi kuongea hadi anafikisha miaka 4. Siku moja akasema Bibi,kesho yake bibi yake akafariki. Ukapita muda kidogo akasema Babu,kesho yake babu akafariki. Akaaa tena,hata siku hiyo akatamka Baba,kesho yake dereva wa mama yake akafariki......
 
Inabidi ujifiche motto asikufahamu maana ni noma
 
Dawa yake unakaweka kwenye besen halafu unaliweka mtoni
 
Ha ha haaaaaaaa kwa hiyo mama alipigwa mimba na dereva wake.
 
huyo sio mtoto bali ni nuksi:embarassed2::embarassed2:
 
Back
Top Bottom