Makumbusho!!!

saleh sule

Member
Dec 25, 2011
47
8
Jamaa alipiga sim makumbusho mazungumz yalikua hv-JAMAA hapo ndio makumbusho ya taifa?MAKUMBUSHO ndio nini tukusaidie?JAMAA naomb mnikumbushe saa mwaka juz ilipotelea wap?MAKUMBUSHO pumbav !!! Hapa tunahifadh vit vya zaman JAMAA Poa basi kumbe saa yangu mnayo ntapitia !!!.
 
Una bahat,
kidogo nimerudisha mashavu nyuma ila kicheko hakijakamilika!!
 
Back
Top Bottom