filamu ya kikombe cha babu,cha bibi na cha dogo

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
wang'wise naliyomba gekeh hivi zile filamu 3 za kikombe cha babu,mara kikaja cha dogo,kisha cha bibi bado filamu hizi zinaendelea au?na kama zinaendelea zimefikia season ya ngapi???????
 
nunua king'amuzi cha star times,utaicheki inaendelea japo imepoteza mvuto kwa 95%.
 
Babu Ambi amesema anatarajia kurudi tena kwa kasi zaidi, ari zaidi na nguvu zaidi. Anadai ameoteshwa tena kwamba wale ambao walipata kikombe na hawakupona wanatakiwa kurudia tena kikombe. "Mungu ameniagiza kuwapatia kikombe cha pili wale wote ambao hawajapona magonjwa yao". Sasa hivi babu yuko kwenye maandalizi ya ujenzi wa majengo makubwa manne hapo hapo Samunge. Hajasema lini watu wataanza kufurika tena hapo kwake, ila amesema ni hivi karibuni kutakuwa na misafara ya watafuta tiba! NIPASHE LA 20/FEB
 
Amazingly God gave him in the first dream, a 'small dose' of the treatment and now, he has been given a bigger and better dose??Than what will follow a MEGA dream dose?

'Dream' on and make money-that too tax free!!...Babu
 
Babu Ambi amesema anatarajia kurudi tena kwa kasi zaidi, ari zaidi na nguvu zaidi. Anadai ameoteshwa tena kwamba wale ambao walipata kikombe na hawakupona wanatakiwa kurudia tena kikombe. "Mungu ameniagiza kuwapatia kikombe cha pili wale wote ambao hawajapona magonjwa yao". Sasa hivi babu yuko kwenye maandalizi ya ujenzi wa majengo makubwa manne hapo hapo Samunge. Hajasema lini watu wataanza kufurika tena hapo kwake, ila amesema ni hivi karibuni kutakuwa na misafara ya watafuta tiba! NIPASHE LA 20/FEB

Na akwa hakika akitangaza tu kuoteshwa mara ya pili watu watakwenda tena!
 
Kashatimiza Lengo. Ni tajiri wa kwanza kijijini kwao nasikia

Mmmh wacha ninyamaze wafuasi wake wasije wakanilipua bureee
 
nasikia cku hz babu mwenyewe anashindia misuti tuu,
Ama kweli wajinga ndio waliwao teh teh teh.
 
Back
Top Bottom