uzuri au muonekano mbaya hauna mwenyewe!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uzuri au muonekano mbaya hauna mwenyewe!!!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Muuza Sura, Feb 21, 2012.

 1. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  wahenga walivyosema hujafa hujaumbika kwakweli hawajakosea!!!!nilikutana na demu niliyesoma nae primary kwakweli huyu msichana alikuwa mbaya!ila kwa sasa ni moto wa kuotea mbali,ngozi soft na shape ya kiuchokozi kabay face flanikiufupi !msichana classic!kwa upande wangu nami nilikuwa naamini mauzo kwangu mia ila siku zinavyoenda naanza kujikataa!chunusi zinanishambulia,kitambi kinanishambulia na ubaya wa unene wangu naona mashavu yananitoka kama napuliza tarumbeta!hali hii inanipa sana mawazo......................ushauri tafadhalini!
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kuhusu unene fanya mazoezi, rekebisha ulaji wako...pendelea kula mbogamboga, matunda na kunywa maji mengi, kuhusu chunusi waone wataalam wa ngozi.
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  chunusi nenda S H Amon fasta..
  duu kumbe unamndambi balaa pole sana komaa uchukue mzigo huo wewe..
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hata tizi la kufukunyua pia poa ! Do mafukunyuzi ya kufa mtu !
  Uone ka hilo tambi litakung'ang'ania yaani hakikisha unatupia nyavuni atlist x 4 per day ! Kama huna akili nzuri ! Sukuma finyango zao !
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Urembo na uzuri upo ndani kwa nje mnajiongopea Muuza Sura usikose amani makunyanzi yakikutokea---Fid Q
   
 6. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  umemtaja FID Q nimepata ahueni kwani kama zangu chunusi yake mijichunusi kama siyo majipu!
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Unene piga sana tizi, chinusi piga puchu..
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  4 Per day na mkitambi!! ukute ni kama ule wa komba!! haitawezekana.
  MAPROSOO.
   
 9. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  kitambi changu cha kiaina nikivaa nguo huwezi kuchanika ila nikivua shirt kinaonekana flani!
   
Loading...