What have you to offer?
are you fun?
do you drink? sie wa Arusha hatukai na
Una mpunga? tutakupokea na kukuhudumia outing ila na wewe unahitajika unapitisha vi round kidogo. If YES. Tupo tumejaa kama maji baharini.
myafute pakajimmy kiomgozi
Ngalimited sintofika huko ni uswaz cna arifuArifu! karibu ngalelo, sulvan bar pande za sinon mbugani au milano pande za nguzo mbili ngalimted hutojuta...
Utafikia mitaa gani swty ? Mi na usafiri ntakufata ulipo .
Karibi dada tupo tele. Tutafute pale California, Apache au Lenana.
Ha ha ha me nafikia anawari ya juu karibia na tanzanite bar
sawa mrembo unitumie namba kwa pm ili tutafutane .
Ngalimited sintofika huko ni uswaz cna arifu
Me mlokole bana huko kuna majaribuachaga hiyo mambo arif utakuwa na mimi mjanja! halafu siunaona hivyo viwanja vya ukweli nilivyo kuchagulia khaa. bila ngalelo hakuna arusha kuwa mjanja bibie.