Naongea na MwanaAsha,MwanaAsha

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Ule wimbo wa izzo bus wa ridh 1,leo namwimbia mwanaAsha,naanza km hv Corus;
Naongea na mwanaAsha mwanaAsha ripot hii usipuuze
Verse;
mwambie mshua wako akisaidie kusaka credt,afute matokeo yte ya nch nzma il yasahhshwe upya.

Endelea
 
Mwambie mshua asichague shule
Haraka omba kurisiti shule ya kata.
Maana gharama tumezifuma
Anatuchakachua anakulipia mwanadada
 
Kitaa umekinukisha mwanaasha !
Mwambie mshua.
Aache ubabe.
Ili walimu wasirudie kumkomoa.
aaaah mwanaasha.
Report hizi zifikishe kwa vasco da gama.
jioni hii akiwapa stori za mazishi ya whitney houston.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom