NIKE na IMF ni free manson?

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,509
Nilikua Nafatilia kipindi cha ATN,This is My story kuna pastor anachambua freemanson.

Kasema NIKE=No Intimacy Kill Everyone
IMF ukiigeuza(kuificha) FMI=Free Manson International,akataja makampuni mengine FUBU,CK etc na umeme ukakatika mpaka sasa hakuna kwa anayeangalia atu-update basi.

Nawasilisha.
 
huyu pastor ana kiwango gani cha elimu?

Kipindi nimekikutia kati hila imenitisha hii ya NIKE kwa sababu amesema kihalisia haina maana yoyote ni kifupisho cha hayo maneno na ndio maana wakasema kuua ni sawa Just do it.
 
Labda kweli... Angeifahamu jf nayo angeitafutia maana... Siku hizi watu wagumu kutoa sadaka,lazima ubunifu utumike.
 
Vilaza zaidi ni wale wanaomsikiliza na kumuamini... Angeifahamu jf nayo angeitafutia maana... Siku hizi watu wagumu kutoa sadaka,lazima ubunifu utumike ati.
 
Back
Top Bottom