Dah. Afadhali!!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Nimetoka kule kidogo roho iache mwili kwa ghadhabu na kisebusebu, wengine wanasema kalishwa sumu wengine wanadai jamaa anajipendekeza... basi mkanganyiko mtupu!! Afadhali huku tunaulizana mambo yetu ya kawaida. Asalaam Aleykhum waungwana!!
 
Karibu mkuu.
Kule kwenu unaweza ukachukia taifa lako... Afu ukashitakiwa kwa uhaini bure?
 
Karibuni sn hapa kwetu ni full raha hakuna strec wala kusababishiana hacra ya ni kutabasamu km sio kucheka kbs!
 
Karibuni sn hapa kwetu ni full raha hakuna strec wala kusababishiana hacra ya ni kutabasamu km sio kucheka kbs!

koma.
Nishakula ban 3 zikiwa zimetokea jukwaa hili hili, tena kwa mpuuzi mmoja.
As you know, I'm always humble...
 
@Mphamvu,pole mkuu hao watu wa ivo ukiwapotezea unakua unapeta tu,kwan jukwaa hili ni kuchit na kuchat ndio maana kumejaa mastory hata ya uongo ili mradi kuenjoy tu!wale baadhi wenye mastrec yao na kutaka kulazima wengine kuwa nazo na kusababishiana ban dawa nikupita post zao km huzion tu na kuchati na wenye raha zao!
 
copy.
Ndio maana nakupenda, endapo GM angekuwa hajaniteka, pengine ungekuwa wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom