Diploma

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Bibi na mjukuu wakiwa sokoni.

Bibi:Diploma nilitee paketi ya sukari ziache matunda.
Mwuzaji:We bibi mjukuu wako anaitwa Diploma?
Bibi:Ndiyo
Mwuzaji:Kwanini?
Bibi:Kwasababu nilimpeleka binti yangu chuo na hichi ndo alichorudi nacho
 
Mke:mme wangu unanipenda kweli?
Mme:nakupenda mke wangu.
Mke:nikifa mkufu wa shaba wangu hutampa mwanamke mwingine?
Mme:siwezi mpa.
Mke;Je gari langu huwezi mpa?
Mme:siwezi mana nakupenda wewe tu.
Mke:je hutampa ile gauni langu?
Mme:kweli siwezi mpa
Mke:na viatu vyangu hutampa kweli?
Mme:siwezi mpa viatu vyako mana yeye anavaa namba sita.
 
Mke na mme walienda club,mara mme akaenda counter kuagiza bia,mara kahaba akamfuata mke wa jamaa na kumwambia.
Yaani huyo jamaa usifanye naye ngono mpaka alipe kwanza,mana ukishampa halipi.

otea kilichotokea jamaa aliporudi.
 
Mhubiri:ningekuwa na uwezo bia zote ningezimwaga baharini
Waumini:yes,na iwe hivo
Mhubiri:ningekuwa na uwezo bangi zote ningezitupa baharini
waumini : wanapiga makofi)
mhubiri:ningekuwa na uwezo gongo,pombe za kienyeji na aina zote za vilevi ningezitupa baharini
ili zisionekana.
Waumini:amen

mara anasimama mwimbaji wa pambio akaanza kuimba akisema ""na atakaye kunywa hayo maji hatasikia kiu tena
milele na milele.""

waumini wakiitikia na kupiga makofi ""amennnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn"
 
hakishuki labda kwa vile sijatulia sana

Habari za siku mkuu, vipi ulikuwa wapi? Maana nakumbuka mara ya mwisho ulipost uzi wa kunichafua hlf ukaondoka. Nashukuru umerudi na ninaahidi kuendeleza bifu na wewe.
 
Bibi na mjukuu wakiwa sokoni.

Bibi:Diploma nilitee paketi ya sukari ziache matunda.
Mwuzaji:We bibi mjukuu wako anaitwa Diploma?
Bibi:Ndiyo
Mwuzaji:Kwanini?
Bibi:Kwasababu nilimpeleka binti yangu chuo na hichi ndo alichorudi nacho
hahahahahah diploma si mchezo..ubarikiwe aisee nimecheka ile mbaya!
 
Habari za siku mkuu, vipi ulikuwa wapi? Maana nakumbuka mara ya mwisho ulipost uzi wa kunichafua hlf ukaondoka. Nashukuru umerudi na ninaahidi kuendeleza bifu na wewe.
huo ni utoto
 
Habari za siku mkuu, vipi ulikuwa wapi? Maana nakumbuka mara ya mwisho ulipost uzi wa kunichafua hlf ukaondoka. Nashukuru umerudi na ninaahidi kuendeleza bifu na wewe.

achana na bangi dogo sio nzuri! Hivi ban uliopigwa na ukawa complicator hujajifunza tu?
 
hiyo ya diploma bado sijainasa vizuri unaweza kuirekebisha ukai repost Please! hizo zingine wawaaaa!
 
Mke na mme walienda club,mara mme akaenda counter kuagiza bia,mara kahaba akamfuata mke wa jamaa na kumwambia.
Yaani huyo jamaa usifanye naye ngono mpaka alipe kwanza,mana ukishampa halipi.
otea kilichotokea jamaa aliporudi.
hahahahaha....mbafu zangu...hahahahaha..yan jamaa n bahiri..hahahaha..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom