JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
rb
:couch2: hi come n chit chat wit meh
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wah. Wabunge kikao kinarejea tunaendelea pale tulipoishia jana, kwako mh. Liverpool
0 Reactions
101 Replies
8K Views
naomba kuuliza swali kwako Nape nauye, je? ulivuta bangi ukubwani ama ulizaliwa na degedege? Nape Nnauye HAKIKA CHANDIMU NA JF WAO WAMECHANGANYIKIWA SANA....hahahaaa MPAKA WANACHONGA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu,yafuatayo ndiyo maneno maarufu kwenye Vyuo Vikuu vyetu hapa Tanzania: 1.'Boom'(fedha za kujikimu zitolewazo na Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu kwa wanachuo/wanafunzi) 2. 'Kuuza...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kufumania na kufumaniwa.
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Juzi nilikuwa katika pub na kulikuwa na wanafunzi (Nahisi wa chuo) wanne (4) wa kike wakijipongeza. Mmoja wao inaonekana kilaji kilikuwa kimepanda kichwani akaanza kujisifu mbele ya wenzake kuwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
wana jf naombeni ushauri yanikila nkipita psiiii psiiii hata nkiwa nadive na wnaonsumbua wame za watu kisa figa na uzuri nifanyaje
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Nahisi ku-miss kituflani ninapoikosa michango ya huyu mwanadada, kunamtu mwenye habari kuhusu Lizzy jamani???
1 Reactions
57 Replies
3K Views
Mlevi kaingia bar na kumwambia meneja.... "Ebwana daaaah... Unajua mi ninashabaha ile mbaya... Naweza kujaza mkojo kwenye ileeee chupa ya juu kabisa counter bila kudondosha hata tone..."...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu niko hapa kwenye jiji letu la Arusha maeneo ya stand kubwa ya mabasi naendesha gari kuelekea kupata chakula cha mchana, lakini kinachonichanganya mpaka kufikia hatua hii ya kuleta huu Uzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimegundua kwamba watu wanapokwenda kazini asubui huwa wana hasira ya kazi na wanaporudi majumbani huwa wana stress za kazi na kuanza kukumbuka uvundo uliotokea siku nzima!sasa usiombe ukapanda...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Kuna mzee mmoja anapenda sana mabinti wadogo,siku moja akamuona binti anachati,basi mzee akazuga zuga,mpaka akamuomba yule binti e mail,binti akamwandikia kwenye kikaratasi e mail...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Obama update his facebook status LADEN IS KILLED, JUSTICE HAS BEEN DONE, after some time he get notification OSAMA BIN LADEN LIKES YOUR STATUS.:biggrin:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF... Hivi usharobaro unaelekea wapi? Maana nimekutana na mtu anajiita sharobaro kavaa pedo lakini me najua pedo wanavaa dada zetu sasa nimeona nililete kwenu jambo hili huku sio...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Khanga moja na kitu Tigo kuwapa raha Arusha Jumamosi ~ Father Kidevu
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna tetesi kuwa JF ni ya CHADEMA na CHADEMA ni ya WACHAGA na WACHAGA ni WALEVI na WALEVI ni WATU MAKINI. Swali linakuja kwako sasa je memba wote wa jf ni MAKINI yaani WALEVI kama ni kweli...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamaa akakutana na demu njiani akielekea kanisani. Jamaa alivutiwa na binti yule akaanza kutupa mistari,kabla ajapata jibu wakafika kanisani. Katikati ya ibada wakati wa sadaka jamaa ili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Invisible; kesho tunaanza Kwaresma, hivyo naomba uninyime access kwenye jukwaa lile lenye matusi, naogopa mipicha ile itanidhambisha! Natanguliza shukrani!
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimepata taarifa hawa maadui wamesuruhshwa cjui ni kweri na je HARBTI ZA KUTETEA Huu MZI5I ZITAENDELEA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii helufi inawakilisha vitu vitamu na venye sukari sukari Mfano. >>K.....Keki >>K.....kashata >>K.....kalimati >>K........???
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…