a brain damage! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

a brain damage!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Shomari, May 23, 2011.

 1. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  naomba kuuliza swali kwako Nape nauye, je? ulivuta bangi ukubwani ama ulizaliwa na degedege?


  [​IMG]Nape Nnauye
  HAKIKA CHANDIMU NA JF WAO WAMECHANGANYIKIWA SANA....hahahaaa MPAKA WANACHONGA PICHA KUHALALISHA UONGO WAO?......DAWA YA DENI KULIPA JAMANI...KALIPIENI KODI YA BOSS WENU


  May 15 at 9:59pm · Like ·
  • 5 people like this.
   • [​IMG]Deus Jr Amani NAPE JIBU MASWALI YA WATU ACHA KUIMBA MASHAIRI YA KEJELI??? UMRI HUO NA HESHIMA YAKO UNAHUBIRI UKABILA! SHAME ON U!May 15 at 10:01pm · Like · 1 person
   • [​IMG]Somoe Ng'itu Wamekaa pabayaMay 15 at 10:02pm · Like
   • [​IMG]Bepari la Wachaga Ni taarabu unaimba au?Kweli ccm kwa viongozi vilaza inaongoza hapa Tz,imagine huyu ni kiongozi wa ccm!!!!,wananchi mmeliwa na mtaendelea kuliwa Kama hamtachukua hatua kwa vitendoMay 15 at 10:03pm · Like
   • [​IMG]Edwin Matata na akiona ukabila haulippi na yeye ataingia kwenye udini... Then unakaa unajiuliza nani ni mkabila na mdini hapaMay 15 at 10:03pm · Like
   • [​IMG]Estracia Paul wakati wa ukweli na uwazi!....mafumbo hayasaidiiMay 15 at 10:05pm · Like · 1 person
   • [​IMG]Bepari la Wachaga Jitahidi sana kuuficha ujinga wako lakini usiiifiche hekima yako sbb ya tumbo(chochote kitu)May 15 at 10:06pm · Like · 1 person
   • [​IMG]Godlisten Mtui huyo ndo kiongoz wa chama che2 kileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....!!!!!!May 15 at 10:08pm · Like
   • [​IMG]Baraka Thomson Sikutegemea mtu aliyeaminiwa kama wewe kuzungumza maneno ya mipasho. Achia siasa kajiunge na TAARABU, utaungwa mkono na wapenda mipasho.May 15 at 10:08pm · Like
   • [​IMG]Stanislaus Kigosi Ningekuwa na uhakika na kiwango cha elimu ya Nape na fani aliyosomea ningetia neno. Maana hata kama ni propaganda hata darasa la saba hawezi kufanya kwa kiwango duni hivyo.May 15 at 10:09pm · Like
   • [​IMG]Deus Jr Amani KAMA MANENO YAMESEMWA JF UNAKUJA HAPA KULALAMIKA UNAMAANISHA NINI???????UNATAKA TUKUONEE AIBU? NAPE U HAV 2 THINK TWICE! AMA UFANYE KAZI ZA CCM AU UINGIE KWENYE MALUMBANO NA MASHAIRI YA TAARABU! May 15 at 10:11pm · Like
   • [​IMG]Deus Jr Amani ‎@sTANSLAUS JAMAA ANA 1ST DEGREE YA SANAA TOKA BANGALORE-INDIA NA SASA NI DENTI WAMASTERS CHUO FULANI HUKO MWANZA!...sema kitu pls!May 15 at 10:13pm · Like
   • [​IMG]Stanislaus Kigosi Sasa kama nauye na degree yako ndo unafanya uongozi kwa style hiyo, unataka kutwambia wewe ni miongoni mwa the best ccm? Nashauri akajifunze sasa namna ya kufikiri na kujenga hoja. Labda kama hiyo MA yake anafanya ktk kujifunza kufikiri. Kwa sasa bado sana.May 15 at 10:21pm · Like
   • [​IMG]Bruce Paschal Chusi mwambieni huyo jamani, kama hana advance diploma bwanaMay 15 at 10:21pm · Like
   • [​IMG]Bruce Paschal Chusi wewe ndo tunakuona umechanagnyikiwa na maneno yako ya mipaho.May 15 at 10:22pm · Like
   • [​IMG]Stanislaus Kigosi Kikubwa ccm wajifunze kuwa hao anaowaita chandimu wanafanya scientific organisation ndani na nje ya chama ndio maana wanasambaa kama moto ktk majani makavu. Wameingia ndani ya mioyo ya watu.May 15 at 10:24pm · Like
   • [​IMG]Viva Yakoub Mh sisi tumeisoma picha, wala haina pressure nchi hii hatuongozwi na chama cha kikabila hata cku moja wala chama cha kidini maneno yao wala hayatupi convince kwanza tunawajua vizuri tu kama wabinafsi, then wanajifanya eti watu wa kutetea wa...See More
    May 15 at 10:24pm · Like · 2 people
   • [​IMG]Estracia Paul JF ni kama mitandao mingine.kama ww unavyokuja kulalamika Fb.May 15 at 10:26pm · Like · 1 person
   • [​IMG]Bruce Paschal Chusi Kama hamjachanganyikiwa mbona mnafanya mikutano yenu kweneye ofisi zenu za chama????? ona ya chadema viwanja havitoshiMay 15 at 10:26pm · Like
   • [​IMG]Kilyie Msengi Jaman.huyu ni kiongoz ameweka hoja kwa wananch wake.kuna ubaya gani?ongea yote nape..ucjal hao wanaosema bila kujua sababu.May 15 at 10:26pm · Like
   • [​IMG]Baraka Thomson Shule inaongeza maarifa siyo akili. Wenye akili thabiti huyatumia maarifa waliyopata darasani kuleta maendeleo na ustawi wao na jamii kwa ujumla kwa ustadi zaid. Usimpime mtu kwa kiwango cha darasa ili ujue ana busara na hekima. Mpime kwa matendo na busara zake, utajua ameelimika au laMay 15 at 10:29pm · Like
   • [​IMG]Emanuel Nakei Jenga nyumba yako(CCM)wakulima na wafanyakazi wape kipaumbele,siku zote mbwa haachi kubweka akimwona mwiz japo mbwa huyo pia ni mdokoz.kazi njema, huwezi kukubalika kwa wote coz hata Mungu wapo wanaompinga.JIPANGE SAWASAWA.YOU CAN. May 15 at 10:31pm · Like · 1 person
   • [​IMG]Lusajo Ponald kaka umefuka kajipange.......hivi mmeshamaliza kuvuana magamba?May 15 at 10:32pm · Like
   • [​IMG]Stanislaus Kigosi Vinginevo hakuna haja ya kusoma. Na kama huyo ndo ana hekima kuliko wote ndani ya chama, basi nafsi yangu inateketea kwani dhamira ya hayati baba wa taifa imeuwawa.May 15 at 10:34pm · Like
   • [​IMG]Onesmo Kyauke Maneno mengi hayaisaidii ccm fanyeni kazi.May 15 at 10:37pm · Like
   • [​IMG]Bernard Kazimoto Dickson mnyonge mnyongeni haki yake mpeniMay 15 at 10:37pm · Like
   • [​IMG]Clemence Mrope Kulikoni kujibia hapa na si JF kwenyewe? Mi napata shaka si haba.May 15 at 10:40pm · Like
   • [​IMG]Lusajo Ponald kabaaaaaaaaaaaaaaaa):May 15 at 10:53pm · Like
   • [​IMG]Lusajo Ponald siasa bwana.......but let me be honest it seems hiyo picha imechakachuliwa wamechukua picha yako na kuipachika hapo kwenye mabango ya CCJ but am not sureMay 15 at 11:04pm · Like
   • [​IMG]Christian Myowela Cha muhimu ingia JF na ujibu hoja, sio kulalamika tu!!May 15 at 11:07pm · Like
   • [​IMG]Pete Odoch Teh teh teh sina mchango zaidi ya kicheko...May 15 at 11:51pm · Like
   • [​IMG]Jumanne Igenge Kwani jamani mnabisha nini? Nape kuasisi CCJ? Anaweza kuwa alishiliki si mnakumbuka kidogo wamteme Ccm na wakaona wampoze na Ka Dc lakin katakoma tu vyeo ya kupeanapeana hivyo hatuvitak'May 16 at 12:09am · Like
   • [​IMG]Augustino Mkumbo inaonekana ni kweli we umekuta JF unakuja kusemea FB kweli km sio kuchanganyikiwa nin?kawajibu kulekule si hatujui unalilia nin?Unalo hilo!May 16 at 12:10am · Like
   • [​IMG]Jumanne Igenge Kwani jamani mnabisha nini? Nape kuasisi CCJ? Anaweza kuwa alishiliki si mnakumbuka kidogo wamteme Ccm na wakaona wampoze na Ka Dc lakin katakoma tu vyeo ya kupeanapeana hivyo hatuvitak'May 16 at 12:12am · Like
   • [​IMG]Augustino Mkumbo waganga njaa wakipata pakushibia utawasikia tu story nxingi had kiive!hakiyamungu namshukuru Mungu kunipa kazi niliyonayo ccm mtakoma!naitumia vzr!May 16 at 12:13am · Like
   • [​IMG]Jumanne Igenge Mheshimiwa peleka malalamiko yako kwa wanachi, kama unaona walikuchagua waambie si nasikia wakuu wa wilaya mnawawakilisha wananchi wambie JF Wamechakachua picha yangu na sikusema chadema ni chama cha wachagga.May 16 at 12:35am · Like
   • [​IMG]Jumanne Igenge Mheshimiwa peleka malalamiko yako kwa wanachi, kama unaona walikuchagua waambie si nasikia wakuu wa wilaya mnawawakilisha wananchi wambie JF Wamechakachua picha yangu na sikusema chadema ni chama cha wachagga.May 16 at 12:36am · Like
   • [​IMG]Eddy Masha huyu ndo DC na kauli hii? CCM wamekosa watu naona au wamemweka hapo kuficha ufisadi?May 16 at 12:52am · Like
   • [​IMG]Michael Mahenge kaka kwa style hii utaonekana nawe wa mipasho, cool down endelea na kazi za kukijenga chama, kama wao wafanyavyo.May 16 at 7:46am · Like
   • [​IMG]Walter Mbalahami Kaka binafsi umenisikitisha, achilia mbali majibu yako ya kejeli lakini kubwa kuizungumzia JF kama mtu au chama, watu wanaoelewa nani ni JF wanashangaa na punde itawalazimu kuhoji uelewa wako wa hii mitandao ya kijamii, jipange ili ukitaka kujibu hoja usikurupuke, unawatia matatani hata CCM wenzioMay 16 at 10:16am · Like
   • [​IMG]Viva Yakoub Jamani eee homa yataka matao bwana, hivi ukishamueka padri agombanie urais unawaambia na waislam nao waweke shekhe agombanie urais! hapana kwa hapa mmechemka hatuchezei amani yetu hata cku moja then haijapata kutokea rais aibe mke wa mtu then mpaka leo hata kuoa hataki anatufundisha kuwa watanzania tuishi kama yeye? hapana hawana hata sifa za kutuongoza kiukweliMay 16 at 10:23am · Like
   • [​IMG]Jumanne Igenge Hapo viva umechemka ndo siasa za majitaka hizo ndani ya chama hatutaki, waweke padri,shehe sawa tu ili mladi awe na uwezo sifa na mwelekeo wa kutuongoza leo hii usipotaka shehe au padrii kesho utasema huyo alishawahi kuwa mgambo au mwanamzi...See More
    May 16 at 2:00pm · Like
   • [​IMG]Jumanne Igenge Hapo viva umechemka ndo siasa za majitaka hizo ndani ya chama hatutaki, waweke padri,shehe sawa tu ili mladi awe na uwezo sifa na mwelekeo wa kutuongoza leo hii usipotaka shehe au padrii kesho utasema huyo alishawahi kuwa mgambo au mwanamzi...See More
    May 16 at 2:03pm · Like
   • [​IMG]Viva Yakoub hatuchezei amani yetu hata cku moja, kumpa padri aongoze nchi maana waisiramu watataka kusimamisha shekhe, ndo maana ccm inakua makini kuchagua mgombea, wewe kama unataka kujua nchi hii haiongozwi na udini simamisha mgombea utaona impact za wafuasi watakuambia nini, kwaio tupo makini na amani ya nchi yetu, nadhani utanielewaMay 16 at 2:36pm · Like
   • [​IMG]Viva Yakoub tunaitaji kiongozi ambae hata akiwa muisiramu atawahudumia wafuasi wadini nyengine, na akiwa mkristu awahudumie wadini nyengine kama hutakua mnazi nakupa mfano wa J.K anakwenda kuhamasisha wananch wake wa dini nyengine ktk matamasha ya inji...See More
    May 16 at 2:54pm · Like
   • [​IMG]King Wa Kitaa Tanzania hakuna amani. Kuna utulivu tu na hata huo utulivu unaenda kwisha kama 2kiendelea kuwa na ma bogus kama wewe... Na inawezekana wewe c mtz ndo maana unasema sana mambo ya ukabila..@diva yakoubMay 17 at 10:09am · Like
   • [​IMG]King Wa Kitaa Au ndo unajipendekeza kwa nape? Huyo nape mwenyewe alyeanza kutoa hyo kaul ya ukabila na udin ameshagundua kuwa alfanya kosa ndo maana hajashadadia tena hayo mambo ya ubaguz.... **** u diva.@diva yakoub.May 17 at 10:13am · Like
   
 2. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa sijawai kumwona Nape kwenye picha kumbe ni yule alimuowa mtoto wa Brigedia Hemed!?
   
 3. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ni yule yule chiriku
   
 4. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,471
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  kazi ipo! kaka omba urudi masasi hii kazi ngumu
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  anapaka wanja??
   
 6. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Duh hii vumbi
   
Loading...