Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona toka jana hubanduki nyuma ya Excellent!Kweli umerudi
Kufumania, asikwambie mtu!Kufumania na kufumaniwa.
Unasema vile hayajakukuta uone inavyoumiza!heri ufumanie bhana unaweza ukasamehe au kumwacha,but kufumaniwa utaaibishwa sana
Nakuona toka jana hubanduki nyuma ya Excellent!
Mi gud, wewe je?
Bora na wewe umeona!Kabakabana, am watching you closely.
Karibu Excellent, missed you!
heri ufumanie bhana unaweza ukasamehe au kumwacha,but kufumaniwa utaaibishwa sana
vyote mwana vinaumiza ila kufumania kama zaid vileKufumania na kufumaniwa.
Kabakabana, am watching you closely.
Karibu Excellent, missed you!