Fataki akiwa ananyatia watoto wadogo anachomeka fimbo mgongoni then anaanza somo, mtoto aking'aka tu kwamba naenda kusema anatoa fimbo 'wewe una bahati ningekuchapa ile mbaya kama ungekubali kumbe...
Mtoto wa miaka 4 anatoka chooni, huku akipiga kelele : "baba baba mswaki wangu umetumbukia chooni"
Baba huku akimfariji mwanaye asijali atamnunulia mswaki mwingine,aliutoa mswaki na kuutupa kwenye...
What is the difference between men and women?
1. A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man.
3. A man will pay $2 for...
chizi mmoja alikuwa amekaa ufukukweni mwa bahari akiwaza ,jamaa mmoja akamuuliza unawaza nini?chizi akamjibu nawaza kama haya maji ya bahari yangekuwa supu sijui ningeinywa na chapati ngapi?
mambo wana jf..namshukuru Mungu leo natimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwangu..naomba kuchukua nafasi hii kujipongeza na kuwaalika wale waliopo mwanza..party itakuwa pande za TJ pub kuanzia saa 2...
Tabora ni mkoa pekee ambao hakuna mbunge wa upinzani hata mmoja aliyeshinda kiti cha ubunge. Majimbo ya Tabora yote yapo chini ya chama dume(CCM). Wabunge maarufu wa mkoa wa Tabora ni Prof...
Kitu wekend ndo hio imeanza,enzi hizo unakuta ndo nimetoka kwenye test ya qms hali tete, naamua kupanda studio kujiliwaza, wajumbe wa kingo, kinje, mirambo, kibasila, vikenge na wazee wa madege...
Sipendi tabia ya mtu kusikiliza mziki au radio kyenye simu in public huku ameweka loudspeaker. Hua najiuliza, hivi hawajui matumizi ya earphones au wanadhani kila mtu anapenda kusikiliza izo...
Nakumbuka nikiwa na 2 years kazini
Alikuja mgeni kutufanyia training kwa muda wa mwezi mmoja na nusu
He was tall ,handsome ,good looking nice smile ,nice dress ,kila kitu Kwangu nilikuwa...
Jamaa wengine waliopigwa BAN ni washikaji zetu, wengine ni sawa na watoto zetu lakini JF kila mtu yuko sawa na mwenzake hakuna kutishana kwa Umri, lakini sasa hizi mvua za BAN zimekuwa ni tishio...
Mtu na mkewe wanagombana chumbani, ghafla ugomvi unakuwa mkubwa mke anaamua kukusanya vitu vyake kwa lengo la kuondoka. Mume anashangaa anamuulizaa: Unakusanya vitu unaenda wapi? Mke kwa nyodo...
wagogo wenzangu wengi wanapofanikiwa kimaisha huwadharau wagogo wenzao...ila nawasifu vile msivyopenda kudhalilika na kujirahisi pindi mnapokosa pesa kama walivyo.............
Kama tungeendeleza utamaduni wa kuwapa watoto majina kutokana na matukio. 2011>> kungekuwa na watu wana majina kama
-Mlipuko
-Mafuriko
-Magamba
-Loliondo
-
-
Napenda kuwajulisha wengi hapa JF kuwa waziri mkuu wa Uingereza anaitwa David Cameron na sio Cameroon kama wengi mnavyo andika hapa.
Cameroon ni nchi ya kiafrica huko Africa ya kati.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.