Na huu utupwe!

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Mtoto wa miaka 4 anatoka chooni, huku akipiga kelele : "baba baba mswaki wangu umetumbukia chooni"
Baba huku akimfariji mwanaye asijali atamnunulia mswaki mwingine,aliutoa mswaki na kuutupa kwenye dustbin.

Mtoto akionekana mwenye kutafakari jambo, aliondoka na kurudi akiwa kashika mswaki wa baba yake na kumuambia "baba tuutupe na huu maana juzi ulitumbukia chooni nikautoa"
 
daah! asee hahahahahaha.....baba alishautumia siku 2 zilizopita. :msela:
 
ayo mengine sasa mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ata do wat ndo ishatokea akubaliane na dogo akautupe 2?!
 
Back
Top Bottom