Tabora wanatisha

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
167
Tabora ni mkoa pekee ambao hakuna mbunge wa upinzani hata mmoja aliyeshinda kiti cha ubunge. Majimbo ya Tabora yote yapo chini ya chama dume(CCM). Wabunge maarufu wa mkoa wa Tabora ni Prof. Kapuya, Sitta, Rage na Kigwangala. JE NI KWELI VYAMA VYA UPINZANI HAVINA MVUTO KWA WANATABORA? TABORA INALETA PICHA GANI KATIKA SIASA ZA TANZANIA?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom