Waliopita mzumbe unvrsty karibuni TUKATE KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,855
6,213
Kitu wekend ndo hio imeanza,enzi hizo unakuta ndo nimetoka kwenye test ya qms hali tete, naamua kupanda studio kujiliwaza, wajumbe wa kingo, kinje, mirambo, kibasila, vikenge na wazee wa madege changarawe mpo, karibuni studio tuanze mambo yetu,

Ruksa kujimwaga haijalishi class la mwaka gan, mi I was there some years ago.. But missing kiu a lot, hopin bado vijana wanaendeleza

Sory kama ujapita mvomero usituchakachulie thread hii
 
Mie nilipita hapo mwaka juzi sa sijui naweza kushiriki pamoja nanyi.

Karibu kaka, mi mwenyewe wa zamani sema I just late x equal to y, that's why I assume nipo campus, but nina years katika career words
 
Back
Top Bottom