Tunawasaidiaje waliopigwa BAN? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunawasaidiaje waliopigwa BAN?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kigarama, Feb 21, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamaa wengine waliopigwa BAN ni washikaji zetu, wengine ni sawa na watoto zetu lakini JF kila mtu yuko sawa na mwenzake hakuna kutishana kwa Umri, lakini sasa hizi mvua za BAN zimekuwa ni tishio, ni kama vile kuna Zimwi limeingia kwenye kijiji chetu cha JF na kuanza kuwala watu mmoja mmoja!!

  Tufanyeje kuwatoa wenzetu waliokula BAN, na ni nani anaweza kutupa Orodha ya waliopigwa BAN mpaka sasa. Au tuandamane??
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  No way out,JF rules should be respected!!!!!
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  FaizaFoxy
  Dr Riwa
  ......Endelea
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  nafikiri swala la msingi ni kwa nini watu wengi wanavunja sheria za JF? Tena wengine kwa makusudi mazima, tena wakijua watapigwa BAN?

  Think!!
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  MODS wamekuja na sera mpya....kubana sana pia kunaharibu mambo....tutakosa uhuru kusema vitu vizito....
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Huyo wa kwanza FF aendelee tu na BAN sijawahi ona mchango wake wa maana.
   
 7. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi pia huwa nashangaa ni kwa nini mtu hutafuta kupigwa BAN, na nimeanza kuamini kwamba kwa wengine BAN ni alama ya ushujaa maana wakirudi humu hujisifu kwamba walikuwa "JELA" na sasa wametoka. Lakini tuwaombe Mod's wafute zile post zenye utata na kuwaonya wenye nazo kwa faragha na kama hao wanaoonywa hawasikii basi ndiyo wapigwe BAN. Na kuwekwe sehemu ambayo wana JF watakwenda kuangalia nani kapigwa BAN na post ipi imemsababisha apigwe BAN. Fair trial bwana!!

  All in all hawa waliopigwa BAN tunawasaidiaje?
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kigarama,
  Tatizo watu wana ID nyingi ikipigwa BAN moja anakuja na ingine, tena kuna wengine wameziweka ID zao kwa ajili ya kuwajibia watu flani.

  Hawajali hata kama zikipigwa BAN, Mkuu kwani wewe una ID moja kama Ritz?
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  hapa sitii neno
   
 10. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nyingi za nini, kwani sijiamini?
   
 11. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ndo ubehave my wii,usije ukala ban,.
   
 12. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mod's wawe kama walezi kwani wengine inawezekana hawakufunzwa vizuri makwao.
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Kabla ya kufanya lolote jiulizeni hili swali je ni kwa nini hao watu wamepigwa BAN?
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mamboo?
   
 15. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kungekua na mahakama ya JF ili wanaopigwa ban wapewe nafasi ya kujitetea!! kuna ID yangu moja imepigwa ban ya maisha nauhakika nimeonewa kungekua na mahakama haki ya nani ningeshinda kesi.
  MAPROSOO.
   
 16. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mamod wengine unakuta washakunywa viroba.
  MAPROSOO.
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Itabidi system iwe automated kuondoa mgogoro na mods...wao wawe wanagusa mara chache kwenye ishu kubwa....km server kuzima n.k otherwise yenyewe icheck maneno...iselect topics zenye kurudia na vitu kn hivyo
   
 18. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  kaaaaaaaaaaazi kweli kweli!
   
 19. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mwita25, mzee wa mia Figganigga......
   
 20. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  JF BAN 1.....listed
   
Loading...