Niliwamiss sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niliwamiss sana

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by libent, Feb 24, 2012.

 1. libent

  libent JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nashukuru now nipo hewani namshukuru Mungu kwa kuwa ni mwema. Vipi lakini humu ndani ni wazima?
   
 2. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Karbu tena. Mambo ni yale yale. Jipya twangoja kwako. Unalo?
   
 3. libent

  libent JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  naona mambo yamebadilika watu wamekuwa waoga sana
   
 4. S

  Skype JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Hilo la uoga linahitaj mjadala mrefu sababu uoga huleta kuonewa, kudhulumiwa, kukashifiwa hatimaye kudhalilishwa. Ili kupambana na uoga inabidi tujikomboe kifikra kwanza. Tukiweza hili hakika hata jukwaa la complaints litakosa walalamikaji isipokua wapongezaji na wanasihi tu. Ni hayo tu mkuu.
   
Loading...