hotel in dar es salaam

emilwayne

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
265
19
Jamani naombeni msaada kwa anaye juwa hotel ya bei rahisi hapa dar ataje hapa na bei yake.
 
Taja unataka hotel ya sh ngapi alafu watu watakusaidia kukuelekeza.
 
Serena zamani mouven peak iko cheap sana nenda kajioneee mwenyewe safari njema
 
Inategemea na wewe unataka nini lakini zipo za kuanzia bei ya chini kabisa kama buku 15 na mpaka dola 300 weye tu. haya sema unatakaje??
 
Unataka iwe maeneo gani Manzese, Tandale, Mburahati,Kigogo,M/nyamala,Buguruni,Vingunguti au temeke?!!
MAPROSOO.
 
Siku hizi kuna gest nzuri sana huku.

Njoo hapa big braza, ipo moja mpya very classy, bei 10,000
Hakuna chabo wala udokozi

Ukijidai kwenda sinza, ondoa namnani maana hii ni ya wenyeji kabisa

Hapo manzese wanatisha kwa chabo!! hata kama ni chumba cha gorofani. sinza ndio mpango mzima.
MAPROSOO.
 
Back
Top Bottom