Could i have this kiss forever ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Could i have this kiss forever ?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by condorezaraisi, Feb 24, 2012.

 1. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka nikiwa na 2 years kazini

  Alikuja mgeni kutufanyia training kwa muda wa mwezi mmoja na nusu

  He was tall ,handsome ,good looking nice smile ,nice dress ,kila kitu Kwangu nilikuwa naona kama kiko-exceed requirements
  I was like puzzle , woo, god mmmh ..badala ya kusikiliza training nilibaki siku nzima namtizama yeye wala hata sielewi nn kinaendelea
  Alikuwa ni foreigner black mix na Mzungu.by that time nadhani alikuwa kama 40-48 yrs old
  Kesho yake mambo yakawa yale yale mpaka siku zikawa zinayoyoma
  Sina hakika kama alisoma hisia maana nilijitahidi nisionyeshe chochote au lolote
  Zikiwa zimebaki siku mbili aondoke nikiwa Napata b/fast nikamuona anaelekea tea room ,
  basi nikamwaga chai yangu na kubeba kikombe kuelekea tea room
  Ile naingia tu I was like mmh nice smell what can I say ,
  What can I do ,what can I start?
  Mara nikajikuta natoa salaam
  Hi L.L
  Akajibu Hi girl ,
  Nikamuuliza when are you going back home ..akajaibu kesho ,akauliza Why ?
  Nilijikuta namwambia kuna vitu sijaelewa nahitaji anielekeze akasema haina neno nikipata time niende training room baadae
  Moyoni nikawa nawaza where can I start ?
  Ndani ya dkk mbili nishamuuliza maswali more than ten nadhani alinishangaa sana
  Alisema ameoa ana watoto wawili nikajikuta namjibu mkeo ana bahati sana you look good in and out akacheka na kutoka.
  Basi nikaingia toilet room nikajitengeneza vizuri mapigo ya moyo yanapiga kupita speed ya kawaida.
  Huyo nikaenda training room sijui shetani ndo alikuwa ananiongoza …
  Kufika nikalock mlango na kukaa..
  Akanisogelea na kuuliza Girl where can we start?
  Ooh kijasho chembamba kikaanza kunitoka sikuwa na jibu bali nikabakia namtizama tu
  what is wrong girl ?
  Nikakaa kimya kama 5 min
  Akauliza tena Girl is any problem I can assist?
  Kimya ..baadae nilijikuta natamka
  Ooh am in love , am in love I do know what to do anymore nikaziba uso wangu na viganja
  alibaki ananishangaa ,baadae akauliza how can I help ,
  Nikakaa kimya
  Aliamka akanisogelea akanikumbatia na kunikiss muda mrefu sana .
  Kwa muda ule niliona kama dunia yote yangu,niko peponi
  Naona kama niko mawinguni
  Baadae akaniachia na kuniambia your so beautiful R
  Ila alisikitika sana na kujikuta ananitamkia
  I do know what can do to help you R
  Xxxxx
  Huo ndio ukawa mwisho wa kumuona huyu L.L
  :smash:
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Nice story, kama ni kweli...mmh....Condo, kupenda si dhambi, ungemwambia tu at the beginning nadhani sasa hivi ungekuwa Beijing unakula bata...!! Bt ndo hivyo tena, What can I do to help You R?? Ila mi ningetafuta room in zero seconds!! Hahaaa!!!

  Ngoja nikutafutie zawadi ya kukufariji!!
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Pole sana
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Hembu chukua hii nadhani itakuliwaza sana ukiikumbuka ya yule kuleeee training room...

  [​IMG]
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nishawahi kuwa in your shoes,i completely understand u
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Pole sana Condoreza kumbe ndo maana bado uko single mpaka leo?
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  [​IMG] [​IMG] [​IMG]  Kama hakukuachia zawadi yoyote basi chukua hii mikufu.....
   
 8. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni habari ya kweli sizinga na imenikuta mie mwenyewe mhusika
  Leo nimekaa nikakumbuka nikajikuta nacheka
   
 9. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  By that time I was totally confused Kabakabana
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  pole ya nini nafikiri apewe hongera kwa kujitosa bila woga na akaamb ulia kisi moja ya nguvu.............na maishani mwake mwote ataishia na kumbukumbu yake tatizo hapo ni kuwa she has to move on her life is worthy even more than just one-stand kiss regardless of how emotional, touching or memorable it has turned out to be........
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  kweli,
  na hauji kupata tena wa kukumbatia na kukubusu kama huyo,
  wabongo wengi hawana muda wa kukufanya ufurahi,
  wao wanakimbilia ku do tu. Pole binti yangu.
   
 12. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Soo what?
  MAPROSOO.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  MMh, tamthilia hizi...
   
 14. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wajanja kama mimi huwa hatuachii hizo nafasi, yani ningerekebisha fasta. Poor him!
   
 15. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kongosho hii habari ni kweli na imetukia kwangu..
   
 16. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mazingira yalikuwa ni kazini Tz-guy
   
 17. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tayari nishamove on ila nimejikuta nakumbuka Ruta:biggrin:
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  itaendelea kesha kongosho stay tuned!
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  what a shock! yaani mpaka leo unakumbuka nadhani hata ukiwa na BF wako ni unachowaza ni kiss from 0.5 enhee..

  tena lilikuwa kali sana inaonekana :busu
   
 20. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Du!pole sana hamkupeana hata contact!!!
  Mgekuwa japo mnasalimiana tu lol!
   
Loading...