Majina

Ezsdon

Member
Nov 1, 2010
66
81
Kama tungeendeleza utamaduni wa kuwapa watoto majina kutokana na matukio. 2011>> kungekuwa na watu wana majina kama
-Mlipuko
-Mafuriko
-Magamba
-Loliondo
-
-
 
meremeta
richmond
gongo la mboto
kigoda
tindikali
maandamano
 
Kitabia maandamano angekuwa mkorofii, richmond na katiba bin chakachua wange kuwa waongo hao
 
Mtoto ningemuita jina la kizungu. White omela. {jaruo nyeupe}
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom