leo ni Birthday yangu jamaaan

Madodi

Senior Member
Apr 10, 2011
176
58
mambo wana jf..namshukuru Mungu leo natimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwangu..naomba kuchukua nafasi hii kujipongeza na kuwaalika wale waliopo mwanza..party itakuwa pande za TJ pub kuanzia saa 2 usiku...mnakaribishwa.
 
images

Madodi
 
HONGERA Madodi kwa kusherehekea siku yako hii ya kuzaliwa.
Mungu akupe umri mrefu, afya na furaha.
 
wachakachua thread washaanza.
@madodi hapy birthday mwaya
Madodi mwenyewe katoroka katuacha wageni waalikwa ukumbini, tufanyeje zaidi ya kupiga story! Sherehe haina hata keki we uliona wapi wifi?.. Mzima weye?
 
Back
Top Bottom