Naenda dukani nakuta sukari bei juu>>Naenda kituo cha mafuta,mafuta nayo bei juu>>Naenda stendi kuu ubungo,nauli nazo juu>>Kama haitoshi vile naenda kwa bosi ofisini.........naambiwa mshahara...
Teacher : What Is The Opposite of Laughing ? ;)
Student : faking ♥ !
teacher : How ?
student : Laughing Sounds
HAHAHAHAHAHAHAHA
and
Faking Sounds AHAHAHAHAHAHAAHAHAH :p
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani. kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji.
Baada ya maakuli na wakati vinywaji
vinaendelea, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata...
Damu ya kunguni haimanishi ww nikunguni bali hakuna jema utakalofanya na litaonekana,hata neno ukiliongelea zuri bado litakua baya,njia ya kuepukana ni kukaa kimya
Two dirty hippies were walking down the street and stopped at a red light. A Catholic priest with his arm in a cast was waiting to cross. "Hey, man," asked one, "what happened?"
"I fell in the...
Huyu mwana-JF..................Smile nimependa avatar yake na michango yake kwenye hili jamvi...........lol.............naona yuko kwenye chati hivi sasa...
One day in the forest, 3 guys were just hiking along a trail when all of a sudden, a huge pack of indians attaked them and knocked them out.
When they woke up, they were at the leader of the...
yaani sijui kama nitapona mwaka huu,hebu niwachotee kiduchu toka kwenye inbox yangu,just imagine hii ni leo tu:
from Koku: baba luku imeisha
from housegirl pendo: baba hujaacha hela ya taka...
Unapomvisha mwenza wako (mume/mke) pete siku ya ndoa inamaanisha hairuhusiwi kwenda ku'duu' nje ya ndoa. Pete ni ishara ya 'K' na kidole ni ishara ya 'M'. Kwa hyo pete inavoingizwa kwenye kidole...
FIVE CASES THAT MAKE YOU GO OUCH!!
CASE-1
Interviewer to Millionaire :
To whom do you owe your success as a millionaire?
Millionaire : I owe everything to my wife.
Interviewer: Wow, she must...
Kiss fm hallo?
Mimi ni njeri napiga simu kutoka mukuru kwa njenga.
Nanata kudediketi nyimbo ya Rihhana " man down" kwa bwana yangu yeye iko kenyatta hospital.
Ujumbe sisi tutaswaga...
Najua wengi walidhania nitafanya kwa maana ya "ku do" - lol - , lakini ninachotaka kuongelea ni tabia ya AJIZI, USIRI, UCHOVU, DHARAU...ya kuacha jambo la kufanya leo ukasema "nitafanya kesho"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.