JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baada ya kupata umri mtoto mmoja wa kiume alitengwa kulala na wazazi wake na kuanza kulala na dada zake. Ikifika usiku lazima awaeleze dada zake kwamba anataka kukojoa na humpeleka chooni kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenzeni nakufa uwiii....
1 Reactions
69 Replies
5K Views
Hope mko poa wana Chit Chat, naomba kuuliza hivi ni kwanini samaki Sato ni ghali kuliko sangara? pamoja na sato kuwa ghali ndio samaki anayependwa na watu wengi mf. utakuta katika mahotel mengi...
1 Reactions
74 Replies
7K Views
Jamaa flani alikuwa amelala na mkewe saa nane za usiku wakaamshwa na mtu akipiga hodi mlangoni kwao. Wakabishana nani afungue....hatimaye mume akaenda kufungua mlango akiwa na usingizi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sharobalo katoka kwenye mnuso amelewa njwii, kaondoka huko na chupa nyingine za konyagi kaweka mifuko ya nyuma ya KATA K yake. Sababu ya ulevi alipofika karibu na kwake akateleza akaangukia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Boss alikuwa anapita kucheki site yake ya ujenzi, watu wote walikuwa bizi katika zunguka yake si akamkuta kijana mmoja kaegamia ukuta hana wasiwasi kabisa, tena anatafuna karanga. BOSI: We mjinga...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa vituko alivyonifanyia yule binti anayepashwa kunisafosha kichwa tu sasa naamini wanaume wengi sasa hivi salooni wanafuata mambo tofauti na kunyolewa. Hawa wake zetu wangejua yanayojiri huko...
4 Reactions
76 Replies
6K Views
A CHAGGA man walks into a Barclays Bank in DAR ES SALAAM City and asks for the Loan Officer. He tells the Loan Officer that he is going to DUBAI on business for four weeks and needs to borrow Tshs...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtoto mmoja aitwaye John alirudi shule uso wake ukiwa umevimba sana na mazungumzo kati ya mtoto huyo na baba yake yakawa hivi: Baba: Mwanangu nini kimekupata, mbona uso wako umevimba hivyo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
weraaaaa kibanda simu....presha inapanda wanapokuja wateja wahaya wanadhani soggy sio mhaya...bwahahahaha ndio wakati wabongo fleva bana.....
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Mitaa ya uswazi huko, mzee mmoja alipita huku akipiga mayowe "mama weeee...mama wee..". Majirani wakatoka nje mbio mbio wakiwa na wasi wasi kimempata nini mtu mzima huyu!! MAJIRANI:(wakishangazwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwenye ile video ya ustaadhi inaonekana alipokea sms mbili. Inadaiwa -na vyanzo vya kuaminika - kuwa maalim alipokea sms mbili; moja toka kwa "betina" na nyingine kutoka kwa Miss Bantu. Ile ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sex -at 8 years you ignore it, -at 18 years you love it, -at 28 years you beg for it, -at 38 years you pay for it, -at 48 years you pray for it, -at 58 years you hear of it, -at 68 years...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
What makes "oil" "boil" Its letter "b" What is between you Its letter "o" Sasa a question Mtu akikuuliza "what make you a boy?"utamjibuje
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waheshimiwa wadau wenza, hakuna ubishi kwamba waliokwenda Shule , upeo wao wa kimaono, fikra na uelewa hawako sawa na wale ambao hawakujaaliwa kupata fursa hiyo. Moja kubwa la faida lipatikanalo...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
MME: Kila siku unaangalia kipindi cha Mapishi ITV lakini kupika hujui,mwanamke gani wee! MKE: Wewe mbona kila siku unaangalia muvi za Xx lakini Kutømba hujui na sijakusema au kukwambia? Na ndo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SIMU ZA SIKU HIZI VITUKO: Girl:Hallow Boy:Sweety mambo vp? ... Girl:Poa. Boy:Utakuwa free weekend?.Nilikuwa nataka uje nyumbani kwangu. Girl:Oh,sory,sitaweza kuja coz kuna harusi ya Aunty...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Weka malalamiko hapa yanayohusu daladala..
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Nilikuwa napita tu nakatiza mtaa mmoja hivi, mara paaa! nikamwona huyu mtoto live. Gazabu ilinishika ingawa simfahamu nikakata fimbo nimcharaze maana nilihisi hako katabia kanahitaji tukio chungu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiwa kama mtoto wa kitanzania kati ya haya hujawahi kufanya hata moja? 1. Je hujawahi kujisuguli chupi ukiwa unaoga badala ya brash? 2. Hujawahi kucheza kibaba au kimama? 3. Hujawahi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…