JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa kaingia bar kakuta kibao kaunta ;;;BIA BURE MWAKA MZIMA KWA ATAKAYEWEZA SHINDANO LETU;;;;;; akauliza kaunta kuhusu lile tangazo akaambiwa masharti yenyewe ni kuwa kwanza anywe dumu zima la...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
chapombe mmoja alianguka karibu na TBL na kuzimia papo hapo,mara watu wakajaa na kuanza kujadili namna ya kumsaidia,jamaa mmoja akaagiza maji yaletwe amwagiwe ili fahamu zmrudie!gafla chapombe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
10. You can usually find someone to do it with. 9. If you get tired, you can stop, save your place and pick up where you left off. 8. You can finish early without feelings of guilt or shame. 7...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Babu m1 alimwambia mjukuu wake, Mjukuu wangu jifiche mwalimu wako yule anakuja, Mjukuu akamjibu Babu, Babu jifiche wewe mimi niliomba ruhusa kwa mwalimu wewe umekufa!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je ni sawa baba kumuomba msamaha mwanae?
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Fikiria, ktk maisha yako umepita ktk magumu mangapi ya kukatisha tamaa, umefikiria mara ngapi kujidhuru au kuishi maisha flani yasiyo yako kwa kuwa umekata tamaa, huna tumaini, mbele yako mambo ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
katika hospital 1 ya wgojwa wa akili doctor alikua anataka kuwa ruusu wale nafuu waende ili wabaki wale hawajiwezi maojiano yalianza ivi Doctor ailchola picture ya mlango pale ukutani theni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Haki ya mtoto iko wapi? Akikojoa kitandani anachapwa viboko, ila mtu mzima akitaka kukojoa...anapigwa mabusu, anakumbatiwa na kuambiwa "kojoa dear" TAFAKARI ZINGATIA NA CHUKUA HATUA "HAKI...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamaa kapigiwa simu kuwa mkewe kapata ajali yuko hospitali. Kufika huko kamtafuta akaelekezwa aende emergency kuna daktari anamshughulikia. Akamkuta daktari; JAMAA: Dokta vipi mke wangu DOKTA: kwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Issa kijoti na mzee kipara wanampokea kanumba kwa shangwe na kumuuliza BIG DADDY mbona umekuja mapema huku? Au FAMILY TEARS imekuchosha,ama umeikimbia MAGIC HOUSE?,lakini ukumbuke UNCLE JJ wabongo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
KWA WALE WENYE MAGARI NA AMBAO HAMPANDI DALADALA, MNAKOSA RAHA KAMA HIZI! Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za Yesu.." Konda: "Vipi wewe, Yesu bado hajatoa album..."...
3 Reactions
10 Replies
7K Views
za jion wapendwa katika jamvi hili. jumamosi jioni nitakuwa musoma kwa wale wanajf wa pande hzo naomba kampani yenu. N.B. Sipendi kujuana sana, kama utaweza kuja nitakapokuelekeza nifahamu km...
1 Reactions
55 Replies
3K Views
mekaa hapa roho hainipi kabisaa nkasema laahasha yabid niingie humu maana my judgement sijawasiliana nae leo saana kwakweli sasa wale mliokuwa mnajifanya mnamkeep busy baasi mwenye mali ndo...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Kuna watu humu wana misemo, vichekesho, n.k na hata ukiingia JF ukiwa na hasira unawezajikuta unaangua kicheko cha nguvu hadharani. Misemo mingine ni kama trade mark kwa baadhi ya members. Kwa...
10 Reactions
66 Replies
10K Views
Nape majuzi alikuwa nyumbani kwao. Katika pita pita akakutana na Makonde mmoja aliyekuwa anauza vinyago. Alivutiwa sana na kinyago kimoja kilichokuwa kinafanana na panya, na kilichochongwa kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Dah siku hizi naona trend ya watu kutembelea profile yangu imekuwa kubwa! Hivi tangu nimebadilisha jina nimekuwa maarufu eeh?
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Juzi mitaa ya Temeke walimsema ndugu yao mwenye tabia za ukibaka mpaka akafa. Hivi navyowaambia leo ndio wanazika.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu leo nimekumbuka miaka ileeee ya 80 hasa ktk swala la misosi. Enzi hizo nilikua nikiishi na wazazi wangu maeneo ya kanda ya ziwa,tulikua tukimiliki ng'ombe kadhaa,mbuzi,kondoo na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni katika matokeo ya darasa la saba,yafaulisha wanafunzi wote!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom