Jamani tumbo linanitoa roho jaman

Madame B yupo kwangu tupo kwenye process za kumrudisha kwa kaka.....ila kwanza tunafanya mila zetu ...namtoa mkosi
 
Last edited by a moderator:
Huyu haumwi!
Deko at works , huyu kuna kitu anakisarandia, au anatafuta huruma flani hivi.
Baadae utaona tu.

Na ole wake nikijue hko anachokisarandia labda asiwe anamsarandia mwanamke flani humu.
Lakini nikimgundua yani ntatembeza mapanga mpaka Ma-Mods watainglia varangati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom