Gauni la Teacher !

Endaku's

JF-Expert Member
May 25, 2007
321
47
Mtoto mmoja aitwaye John alirudi shule uso wake ukiwa umevimba sana na mazungumzo kati ya mtoto huyo na baba yake yakawa hivi:
Baba: Mwanangu nini kimekupata, mbona uso wako umevimba hivyo?
Mtoto: Si lile gauni la mwalimu Sara
Baba: Limefanyaje?
Mtoto: Lilikuwa limeingia katikati ya makalio yake nikaenda kulichomoa ndio akanipiga kibao
Baba: Hiyo ni tabia mbaya usirudie tena mwanangu.
Kesho yake yule mtoto akarudi tena amevimba uso. Baba yake akamuuliza imekuwaje tena? Mtoto akajibu gauni ya ticha Sara iliingia tena katikati ya makalio yake, Tom akaitoa, nikaona ni tabia mbaya nikaenda kuirudishia. Baba akabaki ameduwaa...
 
LOL....! Siku ya tatu mwanafunzi mwingine akilikomboa hilo gauni katikati ya makalio ya ticha Sara, sijui uso wa Jonh utakuwa katka hali gani...
 
Mtoto mmoja aitwaye John alirudi shule uso wake ukiwa umevimba sana na mazungumzo kati ya mtoto huyo na baba yake yakawa hivi:
Baba: Mwanangu nini kimekupata, mbona uso wako umevimba hivyo?
Mtoto: Si lile gauni la mwalimu Sara
Baba: Limefanyaje?
Mtoto: Lilikuwa limeingia katikati ya makalio yake nikaenda kulichomoa ndio akanipiga kibao
Baba: Hiyo ni tabia mbaya usirudie tena mwanangu.
Kesho yake yule mtoto akarudi tena amevimba uso. Baba yake akamuuliza imekuwaje tena? Mtoto akajibu gauni ya ticha Sara iliingia tena katikati ya makalio yake, Tom akaitoa, nikaona ni tabia mbaya nikaenda kuirudishia. Baba akabaki ameduwaa...

Jamani niko I See You (ICU) Muhimbili. Mbavu sina mwenzenu.
 
Kwehe! Kwehe! Kwehe! Kwehe! Kwehe! Kwehe! Kwehe! Kwehe! Kwehe! Kwehe! Kwehe!
 
Back
Top Bottom