Mapenzi Ya siku Hizi.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi Ya siku Hizi..

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Katavi, Jun 13, 2012.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  SIMU ZA SIKU HIZI VITUKO:

  Girl:Hallow

  Boy:Sweety mambo vp?
  ...
  Girl:poa.

  Boy:Utakuwa free weekend?.Nilikuwa nataka uje nyumbani kwangu.

  Girl:Oh,sory,sitaweza kuja coz kuna harusi ya Aunty yangu na siku ya pili kutakuwa na wageni nyumbani.

  Boy:Kama ni hivyo sawa,just nilikuwa nataka nikufanyie suprise,nimekununulia blackberry.

  Girl:eek:h,usijali mpenzi wangu,nitakuja,ata ukitaka nilale huko huko nitalala.

  Boy:Vipi kuhusu harusi?

  Girl:Harusi ipi?nilikuwa nakutania tu honey wangu..

  Boy:Na mimi nilikuwa natania tu.
   
 2. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  weka ugoko niweke jiwe,ful kauzu,ngoma droo
   
 3. KML

  KML JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hahahahahah umetisha
   
Loading...