Shule tumeenda tukaelimishwa, lakini katika hili mmmh...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule tumeenda tukaelimishwa, lakini katika hili mmmh......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Jun 11, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Waheshimiwa wadau wenza, hakuna ubishi kwamba waliokwenda Shule , upeo wao wa kimaono, fikra na uelewa hawako sawa na wale ambao hawakujaaliwa kupata fursa hiyo. Moja kubwa la faida lipatikanalo shuleni ni la kuondokana na kuamini SUPERSTITIOUS, MIRACLES au NGUVU ZA GIZA.
  Ni vigumu sana kumconsult mzazi (msomi) aliefiwa na mwanae na akamzika, thn few days later akatokea mganga na kumwambia mwanae hajafa reality bali kachukuliwa msukule, hatokuelewa.
  Jana 10 June 2012 kenya walikua wakiadhimisha mwaka wa pili tangia last state chopper kuanguka, Helcopter iliokua imebeba waziri Kipkalia Kones, na Naibu waziri Lorna Laboso.
  Jana hiyohiyo 10th June (samedate, samemonth, sametime)
  Helcopter nyingine ikiwa imebeba vilevile Waziri George Saitoti, na Naibu Waziri Joshwa Ojude ikaanguka na kuuwa all passenger on board.
  NA ENEO ILIPOANGUKIA NI LILELILE LA NGONG HILLS.
  My fellow Jf member wewe unaesoma hii Thrade ikukute mwakani serikali ya Tanzania imeku'nominee wewe ukafanye shughuli maalum Kenya na iwe 10th may na ikakulazimu upande chopper utapanda ?
  Na uelekeo ni uleule wa kupita Ngong Hills ?
  Je? Hili neno liitwalo NUKSI kwa kua halitambuliki kisayansi, bt kifizikia tunakutana nalo, tuliweke eneo gani?
  Nawasilisha.
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Hii ni afrika..na jasiri haachi asili..........hujawahi kumuona Profesa wa fizikia kwa sangoma? tena ameamrishwa kuvua viatu
  na mtu ambaye hajaona hata kona ya darasa
   
 3. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  uchawi my dear Judgement upo kila mahali, hata washington kuna wanga! though its hard to believe it, but upo! coz uchawi ni nguvu za giza zifwanyazo kupitia sisi binadamu, na nguvu za giza zipo popote kwa yule aaminiye! na ili kuepukana nao ni kuwa na imani thabiti kwa MUNGU, na kutoamini, naamini hapo salama ipo.
   
 4. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kila kitu huja kwa njia ya imani.
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ptatozoom! Katika mwezi huu mzima leo ndiyo umeongea POINT! Hili ulilonena NENO! Nimeishamshuhudia mtu wa karibu na familia yangu, kashinikizwa akaoge midawa usiku katika ya gulio linalofanyiwa mnada! Na ni msomi (dgree holder) hadi kwenye gari yake chini ya seat kawekeshwa mihirizi.
  Sijui Ptatozoom point nyingine utajaongea mwezi ujao ?
  Mimi sijui !
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Casico ! Nakushkuru kunibrash mswaki wa sikio, siku nyingi hua nataka kujua kua kuna wazungu wachawi?
  Kama hawapo neno "MIRACLE" chanzo chake nini?
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nimekupata kiongozi.
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Najua kilichokuudhi ni mafanikio yangu ( charminglady kunizimikia) sijui utaenda kwa mganga....sababu ya pili ni kwa kuwa upo kwenye kikao cha harusi haramu ya Ruhazwe JR na ambacho kimesitishwa kutokana na kugundua kuwa bibi harusi mtarajiwa ni shemeji yangu yaani mke wa kaka yangu.

  Back to the topic...kuna jamaa mmoja nilikuwa nasafiri naye kwenda Kigoma yeye aliniambia kutokana na uhalifu kukithiri njia ya Nyakanazi - Kigoma aliamua kwenda kwa mganga apate dawa ya kinga.......mganga akampiga chale halafu sharti hili:

  Kabla hajapanda gari akiwa stendi anatakiwa kuruka sarakasi angalau moja kabla ya kupanda gari!!!
  Akamwambia mganga hawezi hilo sharti kwa sababu ana kitambi...si itakuwa kichekesho mjini...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  mind you Judgement miracles na uchawi ni mambo mawili tofauti! Kwa mfano mama yangu mzazi analia tube tumboni yapata mwaka na nusu sasa, yaani hakuna chakula kinachopita kinywani, ni liquids tu! Na ana nguvu, anasmile, hajapauka wala kunyong'onyea! ( hii kwangu ni miracle). Nina pia uncle(priest) of mine ambaye alikuwa na cancer for almost 5 years. Alifunga na kusali kuomba uponyaji kwa MUNGU! Tiba yake kuu ilikuwa holy water( wakatoliki mtanielewa) na sasa anaishi vatcan na kumtumikia mungu akiwa huko, na yupo negative vibaya mno. Yaani ule uvimbe umedisapear na hakuna kabisa cancer mwilini! Hii pia ni miracle kwangu! Uchawi sasa its something else that mtu anapiga ramli ili kufanikiwa, watoto full mahirizi, akiumwa hata mafua anakwambia hapa kuna mkono wa mtu, ila uchawi upo kabisa.
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Thanks for additional details.
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Judgement samahan shem wangu naomba tu ukubali matokea pia utupe baraka zote me na platozoom. back to topic, cjui nimesoma vibaya hv ni 10th may au june? na last plane crash ilikuwa may / june? ukinijibu hlo ntaja kucomment!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Shem nimekuread! Hainaneno.
  Kwakua naona una katashuishi ka'kutaka kujua, nikuanzie nyuma kidogo iko hivi :
  In January 2003 just weeks after Kibaki came to power, light aircraft (hii haikua helcopter)
  but owned by government, ikiwa imebeba 4 ministers ilianguka that was killing one Minister with other three Ministers survived. Second air accident to Kibaki regime was Julay 10 2008 it's Helcopter hii iliua mawaziri wawili (waziri kamili mmoja mwanaume na Naibu waziri mwanamke)
  Ajali ya 3 ya kwa Kibaki ndiyo hii ya juzi June 10 also was killing two Ministers (one full minister with one deputy minister)
  Mshangao wangu mimi ni that two accidents ya pili na ya 3 , kwa kufanana mambo mengi such as i mentioned above. Haya leta maneno yako shemeji
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Shem una matatizo gani me tatizo langu cjui nakuelewa vibaya mara ya kwanza u have mentioned MAY na ssa mara ya pili u have mentioned JULY... MBONA NAPATA SHIDA KUKUELEWA????? Hivi huu ni mwezi wa ngapi?
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Shem thanks kunikumbusha ni wrtin' error , nilipoandika (Julay) ni 10th June, alafu tangia kwenye first comment yako ungenistua mazima tu, eee bwn umekosea month ningeshtuka mapema!
  Ok nimesha amend tha's error
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  unajua ajali ya mwanzo cjui ilitokea lini so sikuwa na uhakika afu pia huenda kulikuwa na ajali ya may ndo maana nilichelea kukukosoa badala yake nilikuwa nauliza kwanza...

  back to topic.... Me naweza sema kuwa ni mambo tu ya kiimani kama unaamini kuwa itatokea hivo mwakani au mwaka ambao wewe utakuwa umechagulwia kwenda huko lazima utakuwa na woga.... mara ngapi kuna kuwa na matukio yanayoambatana/kutokea mfululizo na watu natilia maanani yanatokea na mengine hayatokei... mf. ukute katika ukoo flani kuna suala la mitambiko kila mwaka au kila baada ya muda fulan na watu hukutana sehemu flan ili kufanya mitambiko hiyo na pia kuna watu hupuuzia kwa vile hawaamini au hawana imani na suala la mizimu lakini watu hao hao huwa hawapatwi na tatizo kwa kuignore hiyo mitambiko ila ukiogopa kwa vile hukufanya mitambiko utapata kitu flani lazima ukipate.. na nguvu za giza zinampata yule ambaye ni mwoga! na mtizamo wangu mie charminglady
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nimekuread Charm vema.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Chit chat imevamiwa na stori ngumu ngumu..!
   
Loading...