Jana nienda saloon kunyoa.....

Nyetk

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,648
1,696
Kwa vituko alivyonifanyia yule binti anayepashwa kunisafosha kichwa tu sasa naamini wanaume wengi sasa hivi salooni wanafuata mambo tofauti na kunyolewa. Hawa wake zetu wangejua yanayojiri huko saloon walahi mwenye uchungu na mzigo wake asingeuacha utinge hizi saloon alone.

"Kaka kaa hapa. Unafanya skraibu?" (Sijui ndo nini)
"Hapana, naosha kichwa tu." Halafu ukimwangalia analipaaa! Na mapozi ya kichokozi kibao!
Mara kang'ata kidole, kaanza kunipapasa kuanzia mabegani, shingoni hadi kaingiza vidole kwenye masikio yangu. "Ungefanya skraibu tu kaka, ona mafuta yalivyomengi kwenye pua." kanishika pua ananikamuakamua........

Mablazameni najua mnazijua hizi lugha, ebu tupeni mapana na marefu ya huma kwenye saloon zetu. Huwa zinawakera au zinawafurahisha?
 
Ee bhana huwa ni bonge la raha we acha tu,hiyo skraibu sasa akianza mbona utaenjoy,ile tu anakupeleka kwenye chumba ndogo anakuuliza kama kuna huduma zingine unataka,aisee kwanza kuanzia huko mabegani,shingoni,unajikuta unasinzia aisee kitu ambacho hata sijafanyiwa na gf wangu
 
hao wadada wa saluni wanamwangalia mtu na mtu.....ukijilegeza watakufanyia vituko na watakubeba....

Ila ukiwa imara, hawezi kukuletea upuuzi....
Anakupapasa shingo na mabega na weww unamwangalia tu?
Umeenda kuosha kichwa au kubinywa pua?
Mwisho atashika kusipotakiwa utabaki kumtizama?
Kwa nini umruhusu aingize midole yako sikioni kwako?

Wanaume na nyie acheni kujilegeza, aaaarrrgh
 
BT, hakuna cha uimara wala nini.. hiyo scrub lazima masikio na pua viguswe!
 
hao wadada wa saluni wanamwangalia mtu na mtu.....ukijilegeza watakufanyia vituko na watakubeba....

Ila ukiwa imara, hawezi kukuletea upuuzi....
Anakupapasa shingo na mabega na weww unamwangalia tu?
Umeenda kuosha kichwa au kubinywa pua?
Mwisho atashika kusipotakiwa utabaki kumtizama?
Kwa nini umruhusu aingize midole yako sikioni kwako?

Wanaume na nyie acheni kujilegeza, aaaarrrgh
we mbona raha sana,sijui mikono ya watu wengine imejaliwa nini,akikugusa tu mabegani mbona unakuwa crazy
 
Kwa vituko alivyonifanyia yule binti anayepashwa kunisafosha kichwa tu sasa naamini wanaume wengi sasa hivi salooni wanafuata mambo tofauti na kunyolewa. Hawa wake zetu wangejua yanayojiri huko saloon walahi mwenye uchungu na mzigo wake asingeuacha utinge hizi saloon alone.

"Kaka kaa hapa. Unafanya skraibu?" (Sijui ndo nini)
"Hapana, naosha kichwa tu." Halafu ukimwangalia analipaaa! Na mapozi ya kichokozi kibao!
Mara kang'ata kidole, kaanza kunipapasa kuanzia mabegani, shingoni hadi kaingiza vidole kwenye masikio yangu. "Ungefanya skraibu tu kaka, ona mafuta yalivyomengi kwenye pua." kanishika pua ananikamuakamua........

Mablazameni najua mnazijua hizi lugha, ebu tupeni mapana na marefu ya huma kwenye saloon zetu. Huwa zinawakera au zinawafurahisha?

afadhali yangu my hexbend huwa haendi huko...
 
hao wadada wa saluni wanamwangalia mtu na mtu.....ukijilegeza watakufanyia vituko na watakubeba....

Ila ukiwa imara, hawezi kukuletea upuuzi....
Anakupapasa shingo na mabega na weww unamwangalia tu?
Umeenda kuosha kichwa au kubinywa pua?
Mwisho atashika kusipotakiwa utabaki kumtizama?
Kwa nini umruhusu aingize midole yako sikioni kwako?

Wanaume na nyie acheni kujilegeza, aaaarrrgh
Hayo ni mambo ya kawaida sana....huduma kama hizi huwezi kuzipata home kabisa hata kwa wife....kuna kinadada wapo vizuri mno katika kutupa raha hizi....ukitaka huduma ya ndani zaidi hayo ni mengineyo lakini huwa tunafuta kutekenywa na kupumzika ....mimi huwa na spend lisaa limoja na nusu hadi mawili saloon kwa huduma kama hizi kila wiki....inategemea na ufundi wake
 
mkeo anajuakuwa unapenda 'kubinywa pua?'
kufanyiwa scrup?
Kuingizwa vidole masikioni?

Una uhakika huwezi kuzipata kwake?

Loh.......
 
Ee bhana huwa ni bonge la raha we acha tu,hiyo skraibu sasa akianza mbona utaenjoy,ile tu anakupeleka kwenye chumba ndogo anakuuliza kama kuna huduma zingine unataka,aisee kwanza kuanzia huko mabegani,shingoni,unajikuta unasinzia aisee kitu ambacho hata sijafanyiwa na gf wangu

hahahahaha hadi kusinzia mkuu we noma.!!! Unakuta anakuscrub shingon afu anapitisha mikono mpka kifuani kichokozi, akimaliza utasikia kaka na mi ela ya soda...
 
hao wadada wa saluni wanamwangalia mtu na mtu.....ukijilegeza watakufanyia vituko na watakubeba....

Ila ukiwa imara, hawezi kukuletea upuuzi....
Anakupapasa shingo na mabega na weww unamwangalia tu?
Umeenda kuosha kichwa au kubinywa pua?
Mwisho atashika kusipotakiwa utabaki kumtizama?
Kwa nini umruhusu aingize midole yako sikioni kwako?
Wanaume na nyie acheni kujilegeza, aaaarrrgh
Hahahahaa! Punguza monkari BD, hizo huduma kama huwa huzitoi kwa mwenziyo ujue kuna wajanja wanampatia kikamilifu. Chunga mzigo mamie, ujue unawashindani. Si umeona mwenyewe mablazameni wanavyoshuka live?
 
Back
Top Bottom