Samaki!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samaki!!!!!!!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by charminglady, Jun 11, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  Hope mko poa wana Chit Chat,
  naomba kuuliza hivi ni kwanini samaki Sato ni ghali kuliko sangara? pamoja na sato kuwa ghali ndio samaki anayependwa na watu wengi mf. utakuta katika mahotel mengi ukiagiza samaki utaletewa samaki Sato na sio sangara.... Mara nyingi naona sangara hutumika sana for export kuliko sato... ni kwanini lakini?
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  My honey sato ana ladha nzuri (kwa siye wabongo)....halafu anapendwa na wengi ndio maana bei yake iko juu kuliko sangara...si unajua "supply na demand?"...............Sangara hana ladha nzuri kivile lakini pia ana mafuta mengi.

  Umeshawahi kumla gogo au nembe? Najua furu umekula!

  Nilikuwa nimesahau pia ukitaka umfaidi sato unamla upande mmoja kabisa halafu ndio unamgeuza
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kuliko pweza?...
  sato wana ladha bomba...supu makini...kwa ugali mpango mzima...hata shape yake tu akiwa kwenye sahani anavutia...kwa uelewa wangu mdogo toka ziwa la NYUMBA YA MUNGU.
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwani samaki wote si lazima umle PANDE zote?...au mm nakoseaga?!
   
 5. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna huyu papa kojo, nani ashamlaga? Ni mtamu lkn ana ladha ya mkojo
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Mie natafuta samaki mmoja anaitwa Mbasa ..nitumieni wapenzi DHL au vyovyote
   
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  charminglady tena raha ya sato umle jicho, jicho la sangara mafuta mengi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  BAGAH, my dear jaribu kuanza na jicho na mkia! kisha ndio umgeuzegeuze! ananogaje sasa??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Jibu la swali lako liko ndani ya uzi wako.
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Productivity ya Sato always low!
  Ya Sangara iko high.
  Kinachozalika in low format , price yake sokoni hua juu.
  Kinachozalishwa kwa wingi price (market) hua chini. Kwa uchache wa Sato tha's whay hawaexpotiwi na Sangara ni kinyume chake, siku tukijaribu kuexport Sato within a year, hapatakuwepo hata mmoja.
  Kwa kuliona hilo mamlaka ya nchi haijaruhusu Sato kuuzwa nje.
  Tha's Law & Order
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  sato ndo mtamu....
  sangara ana shombo............
  halafu kama unarudi dar niletee sato.....
  nitakurefund....
  na zee langu Asprin atakuongezea cha juu..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  Switat athante kwa kunielewesha, ila vi.nembe huwa sili wala gogogo ila furu nakula ........
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  HAHAH HUYO CJAWAHI MSIKIA Kijino
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  huyo ni wa maji chumvi au baridi???
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kunielewesha!
   
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Na wewe naweee!
  Kwani Pweza ni samaki?
  Ndo matatizo ya kuishi Singida
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheheheeee cacico hapo umenena lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  mmhhh..
   
 19. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  umeonaeeeeee Erickb52 nilijua tu utashabikia ukipita mitaa hii!! mtoto mpana weye ka gate la ikulu! haya kazi kwako wakati wa kumla, usijejing'ata tu, au kupata mtikisiko wa ubongo kwa utamu wake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mbona yupo, nimemla sana znz, ana nyama kweli, lkn ladha ya kojo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...