Ni muuza karanga tu

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,315
7,730
Boss alikuwa anapita kucheki site yake ya ujenzi, watu wote walikuwa bizi katika zunguka yake si akamkuta kijana mmoja kaegamia ukuta hana wasiwasi kabisa, tena anatafuna karanga.
BOSI: We mjinga unapata shilingi ngapi kwa mwezi?
KIJANA: Alfu themanini mzee... Bosi akafungua pochi yake akatoa laki akampa kijana
BOSI: Chukua hii laki na potea hapa mi siajili watu kuja kusimama tu hapa. Bosi akamuita Msimamizi wa site;
BOSI: Yule kijana niliyemfukuza alikuwa anafanya kazi gani?
MSIMAMIZI: Yule hakuwa anafanya kazi hapa,ni muuza karanga alikuwa anapita tu
 
ridhiki ya simba iko ......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom