Mama weeeeeee!!!!!

Mama weeeeeee!!!!!

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,389
Reaction score
1,131
Mitaa ya uswazi huko, mzee mmoja alipita huku akipiga mayowe "mama weeee...mama wee..". Majirani wakatoka nje mbio mbio wakiwa na wasi wasi kimempata nini mtu mzima huyu!!
MAJIRANI🙁wakishangazwa na hali ya kawaida tu ya mzee huyo) Baba kwani vipi?
MZEE: Natengeneza mbuzi mbovuuuu!!!!
MAJIRANI🙁Full kusonya na mitusi kibao)
 
jAMANI SIONI SEHEMU YA KUPOST NEW TOPIC, KUNA NINI?
 
Back
Top Bottom