Mtoto Umleavyo ...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto Umleavyo ...!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Hmaster, Jun 13, 2012.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baada ya kupata umri mtoto mmoja wa kiume alitengwa kulala na wazazi wake na kuanza kulala na dada zake. Ikifika usiku lazima awaeleze dada zake kwamba anataka kukojoa na humpeleka chooni kwa ajili hiyo.
  Siku moja akawauliza dada zake ni kwa nini akitaka kukojoa wanampeleka chooni wakati baba na mama yake huwa wanapeana ruhusa ya kukojoa kitandani?
   
 2. KML

  KML JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  tupe na jibu basi
   
 3. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Du anataka kuwarudi dada zake
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  muda si mrefu atawaambia dada zake anataka na yeye kukojoa kitandani :madgrin:
   
Loading...