Sharo na pombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sharo na pombe

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Badu, Jun 13, 2012.

 1. Badu

  Badu JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 364
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sharobalo katoka kwenye mnuso
  amelewa njwii, kaondoka huko na
  chupa nyingine za konyagi kaweka
  mifuko ya nyuma ya KATA K yake.
  Sababu ya ulevi alipofika karibu
  na kwake akateleza akaangukia makalio chupa zikavunjika na
  kumchana makalio. Akajikongoja
  mpaka ndani kwakwe, alipovua
  suruali akaamua kujitibu kwa
  kubandika plasta kwenye vidonda,
  basi kwa msaada wa kioo cha kabati lake akawa anajiaangalia
  palipo na kidonda na anabandika
  plasta. Hatimae akaona amefanya
  kazi nzuri akajitosa akalala.
  Asubuhi alipoamka, akashangaa
  kioo chote kimebandikwa plasta na makalio yanauma.
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,849
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni magic au jokes? sijaona connection kati ya sharo na pombe.
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,908
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  inamaana alikuwa anabandika plasta kwenye kioo badala kwenye majeraha!
   
 4. doup

  doup JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,123
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  aaah sharo na nyagi?
   
 5. KML

  KML JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 862
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  uyo shalo kweli shalow
   
 6. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,349
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Sharobalo katoka kwenye mnuso
  amelewa njwii, kaondoka huko na
  chupa nyingine za konyagi kaweka
  mifuko ya nyuma ya KATA K yake.
  Sababu ya ulevi alipofika karibu
  na kwake akateleza akaangukia makalio chupa zikavunjika na
  kumchana makalio. Akajikongoja
  mpaka ndani kwakwe, alipovua
  suruali akaamua kujitibu kwa
  kubandika plasta kwenye vidonda,
  basi kwa msaada wa kioo cha kabati lake akawa anajiaangalia
  palipo na kidonda na anabandika
  plasta. Hatimae akaona amefanya
  kazi nzuri akajitosa akalala.
  Asubuhi alipoamka, akashangaa
  kioo chote kimebandikwa plasta na makalio yanauma.

  Hapo una ugomvi wa wazee wa yoyoyo
   
 7. J

  Jadi JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hii kali
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 135
  ndiyo maana darasani kuna wa kwanza na wa mwisho
   
 9. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hhhaaa hhhaaa
   
Loading...