JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
CHAMA KIPYA CHA SIASA KITASHIKA HATAMU NA KUWA NA NGUVU TARIME KULIKO MAGAMBA NA VYAMA VINGINE!!! je ni kweli?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mtu kanijia analia kapigwa kibuti na GF wake,nikamshangaa yaani kibuti tu ndio unalia mbona wako wengi tafuta mwingine maisha yaendelee,jamaa akaniambia kinachomuuma sio kuachwa ila ni vile...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
mi nilikuwa nampigia pande bwana Wakati ndik sasa ili angalau mama watoto wangu charminglady apate bedrest yake kwa amani wakati siku zinajisogeza, sasA mlengwa hata habari, naona mr. mkiva...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana MMU, kama uko pande za singida na dodoma tuwasiliane kama hutajali tupeane hi na kampani ya ukaka na udada (kama jinsia itakuwa tofauti na yangu)......, kuhusu gharama za mkao kila...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanajamvi yaani hapa ni saa tisa na dakika ishirini na tano nimekaa sebuleni namsubiri Mama V arudi toka kwenye kitchen party aliyokwenda tangu saa nane alasiri! Yaani sielewielewi ati! Sijui...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
nilikuwa naona kina Mwali na wenzie wako bize wanasimuliana kuhusu playstation sijui xbox 360, sasa wakati wetu ilikuwa hakuna izo ndude, kulikuwa na vitu kama hivi na mimi ndo nilikuwa...
7 Reactions
54 Replies
7K Views
Ikiwa wanafunzi waliofauru darasa lasaba na kujiunga na kidato chakwanza hawajui kusoma wala kuandika, Je hao waliofeli hali itakuwaje??? Hii inaweza kuingia kwenye maajabu saba ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu niko kijijini, karibuni kyai kya moto!
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wana jamvi hebu naomba nijuzwe kama kuna mwenye taarifa juu ya hii tamthilia hapa ch 10 nimekuwa nikiifatilia ila imeishia hewani
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hey there! Today is my birthday!
3 Reactions
28 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
765 Views
BABU: Mtoto nakupenda sana, ukinikubali utafurahi KABINTI: Akuuu, we mzee una miaka hamsini mi nina 19 wapi na wapi? BABU: Nani ana miaka hamsini? Mimi nina umri wa miaka 25 na uzoefu wa miaka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mke mmoja aliyechoka na tabia ya Mume wake ya kupenda kuchat na kuangalia net kwenye simu yake alitoa kali ya mwaka. Mume huyo hakua na muda wa kuzungumza na mkewe, kila mara yeye na simu yake tu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
My Shem beibe nasty Heard that you’re not feeling well. So brought flowers for you to Make you feel Healthier and Happier. Get Well Soon! Wanachit Chat wote tumwombee mwenzetu apone haraka!
2 Reactions
62 Replies
5K Views
Jana nlikuwa katika daladala mara daladala liliposimama akapanda mama na m zigo hk akiwa amebeba mtoto na wawili wengine akiongoza nao akajitokeza abiria mmoja na kusema "Kweli mwanamke ni mwili...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Chali flan alikua anaperuz post jf akaona neno (rep power) akadai dis wal is sinful people raping on-line and others 9562 per day so strange!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naulizia wapi naweza pata gym maeneo ya ubungo, mwenge au sinza ukitoa ile ya ubungo na Sayansi. Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau wa Jf book, Jana nikiwa kwenye Lunch nilikuta mjadala ambao ulinivutia nikaona nishirikishe wadau wangu wa JF; Watu wengi hasa walioko kwenye mahusiano walionesha kukerwa sana, na wapenzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Angalia hiyo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakulu kama mjuavyo, na kama mnavyoona maskani yangu ni huku wodi ya wazazi..... Kaja mama mmoja tumbo hiloooo..... Daktari kampima na kathibitisha huyu mama atajifungua kesho mtoto wa kike...
10 Reactions
110 Replies
11K Views
Back
Top Bottom