Kibuti cha dharau.............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibuti cha dharau..............

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by St. Paka Mweusi, Sep 19, 2012.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu kanijia analia kapigwa kibuti na GF wake,nikamshangaa yaani kibuti tu ndio unalia mbona wako wengi tafuta mwingine maisha yaendelee,jamaa akaniambia kinachomuuma sio kuachwa ila ni vile alivyoupokea ujumbe huo.Umbea ukanishika enhee amaekuachaje ..?? Ananiambia kaletewa barua iliyoandikwa kwenye Toilet paper kisha toilet paper hiyo ikatumika kujiswafi kunako kisha ikawekwa katika bahasha ni kutumwa kwa muhusika.Nikajiuliza mh hivi vibuti ni vya aina aina kumbe...Nisaidieni wadau nivijue zaidi,wewe umeshawahi kupiga au kupigwa kibuti gani cha dharau....
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha mwaka 2008 pale nilipomfuata aliyewahi kuwa mpenzi wangu ambae alikuwa mwimbaji wa Bendi flani ya Wakongo.
  Alikuwa anaimba,nikapanda stejini nikamnyang'anya Mic kisha nikamnong'oneza sikioni kuwa "Kuanzia leo Tusijuane,Sikutaki na Wala Usinifate kwani Nitakutoa nishai"
  kisha nikashuka,nikaondoka zangu Nyumbani.
  Nahs kile Kibuti hatokaa akisahau mpaka anakufa.
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wacha nikapate Lunch,mh.. alikomaje sasa.......
  Naona na shoo iliharibika....
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  khaaaa....!!....ila nimeipenda....
   
 5. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  tukiwa sekondari kuna rafiki yetu darasani alipata rafiki kwenye shule ya wasichana jirani, wakiwa katika, mahusiano siku moja brother alipeleka zawadi ya lotion na binti akampa zawadi ya perfume. siku walipobwagana brother akamwambia ulikuwa "kipori" yaani ugly, huvutii kabisa ndio maana nilikuletea lotiona angalau upendeze lakini wapi!! na binti akamjibu wewe ulikuwa na harufu mbaya ndio maana nikakuletea perfume!!! sijui nani zaidi hapa!!
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Preta Mummy, dawa ya Mwanaume anaekung'ang'ania wakati hatakiwi ni Kumtoa nishai tena mbele za watu.
  Hiyo ndio Dozi yao.
   
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ndio dawa yenu hyo.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sijawahi pigwa kibuti na sidhani kama itakuja kutokea.
   
 9. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikamwambie akupige.
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,693
  Trophy Points: 280
  kuna vile vibuti mtu hapokei simu wa kujibu SMS....yaan kimya kimya
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Nimeshakwambia usinifuatefuate nyumbani kwangu we husikii bado unakuja tu na miuaua yako hapa, haya Almasi hebu wafungulie Bobi umfukuze huyu mtu na sitaki kumuona tena hapa,hiyo alipewa mtu.................
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Lazima alishindwa kuimba huyo.

   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Daaaaaah hii kali hivi vibuti vingine bhana! Duu uku ni kuvunjiana heshima na utu!
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Mungu akulipe kadiri ya stahiki yako...
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Na mwanamke akikung`ang`ania je naye vipi..??
   
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Na hyo Laana yako hainipati Ng'o.
  Dawa yenu ni hiyo hiyo mpaka kieleweke.
   
 17. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Wanaume wote hao,kisa cha kukung'ang'ania?
  Akhuu natafuta mwingine bhana.
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Huwa namwambia mbona wanaume tuko wengi lakini yeye
  anasema hawaoni kaniona mimi tu sasa sijui huyu kibuti gani kitamfaa..??
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Dawa ya ugonjwa gani sasa?
  Unajua unaweza kushangaa kila ukipika chakula hakiwivi, kumbe mkaka wa watu anamlilia Mungu huko. Laana sio mpaka uokote makopo ati?
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hahahaah!! Sipigwi kibuti hata ukiingiza fitna zako.
   
Loading...